Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

Nakumbuka kuna siku nilienda ofisin kwa jamaa yangu nikamkuta kainamia meza, nilisubiri kama dakika mbili bila kumsemesha nikisuburi ainue kichwa nilivyoona hainuki nikamuita jina nikimgusa mgongoni, alivyoinuka akaniangalia nilishangaa kuona macho mekundu yamejaa machozi nikamuuliza nini shida akajibu kama ifuatavyo, "peril mdogo wangu.

Mwanamke hata umnunulie helkopta iwe inampeleka chooni kupigwa nje haiepukiki, siamini kwa jinsi ninavyomfanyia shemeji yako mama flani na haya ninayokutana nayo" jamaa akaangua kilio tena. Nilimuonea sana huruma ukizingatia ni wale binadamu wachache waliobaki wenye uaminifu wa asili.
 
Swala ni kwamba sio ukimpa hela ndo mapenzi yatakua makubwa coz kama demu hakupendi bado nafasi yako kwake itakua ndogo tu hata umpe dunia nzima wengine tuamie mars NI UMASIIKINI TU NDO UNAFANYA WANAWAKE WAAMINI UKIWAPA HELA NDO UNAWAPENDA so kuweni Makini
 
Nikiwa kama mjumbe wa UWABATA (Umoja wa Wanaume Bahili Tz), Kuanzia sasa umefutwa uwanachama....
Kuna mishe naiskilizia ikitiki tuu mbona utafurahi ,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nakumbuka kuna siku nilienda ofisin kwa jamaa yangu nikamkuta kainamia meza, nilisubiri kama dakika mbili bila kumsemesha nikisuburi ainue kichwa nilivyoona hainuki nikamuita jina nikimgusa mgongon...
Mkuu mwanamke hana formula ni kikubwa kuliko vyote Don't ever trust them ...
 
Kugongewa kawaida shida nikijua tu anakula burn la maisha mzee!

Hapo sitaangalia kulia wala kushoto.

Lakini hata hvo nyie wenye hela mtuachie my wetuuu!!!

Msitume na yakutolea😂😂😂😂
 
Nakumbuka kuna siku nilienda ofisin kwa jamaa yangu nikamkuta kainamia meza, nilisubiri kama dakika mbili bila kumsemesha nikisuburi ainue kichwa nilivyoona hainuki nikamuita jina nikimgusa mgongoni, alivyoinuka akaniangalia nilishangaa kuona macho mekundu yamejaa machozi nikamuuliza nini shida akajibu kama ifuatavyo, "peril mdogo wangu.

Mwanamke hata umnunulie helkopta iwe inampeleka chooni kupigwa nje haiepukiki, siamini kwa jinsi ninavyomfanyia shemeji yako mama flani na haya ninayokutana nayo" jamaa akaangua kilio tena. Nilimuonea sana huruma ukizingatia ni wale binadamu wachache waliobaki wenye uaminifu wa asili.
Ikawaje Baada ya Hapo
 
Back
Top Bottom