Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

Usipompa Mkeo/ Mpenzi wako pesa basi utasaidiwa na wanaojua kujali

Nakumbuka kuna siku nilienda ofisin kwa jamaa yangu nikamkuta kainamia meza, nilisubiri kama dakika mbili bila kumsemesha nikisuburi ainue kichwa nilivyoona hainuki nikamuita jina nikimgusa mgongoni, alivyoinuka akaniangalia nilishangaa kuona macho mekundu yamejaa machozi nikamuuliza nini shida akajibu kama ifuatavyo, "peril mdogo wangu.

Mwanamke hata umnunulie helkopta iwe inampeleka chooni kupigwa nje haiepukiki, siamini kwa jinsi ninavyomfanyia shemeji yako mama flani na haya ninayokutana nayo" jamaa akaangua kilio tena. Nilimuonea sana huruma ukizingatia ni wale binadamu wachache waliobaki wenye uaminifu wa asili.
Mkuu hawa viumbe hawaeleweki.
 
Back
Top Bottom