Usipoteze tumaini, dunia ndivyo ilivyo

Usipoteze tumaini, dunia ndivyo ilivyo

Hujawahi kusikia kaka au dada anamfanyia fitina mdogo wake waliozaliwa tumbo moja asifanikiwe?
Kwenye kupambania maisha na maendeleo yako kwa ujumla usimuamini na kumwambia mipango yako mtu yeyote
Mm mpaka dakika hii mzee wamgu sijaend kumkagua tu kwa wakubwa mana kwa akili yake ilivyo yule anaweza akatokea kama kikwazo nikamtanguliza mbinguni
 
Uko mkoa gani mkuu, mana majiji changamto yake inaeleweka. Population ni threat, ukiangalia vizur zanzibar utaona ina fursa kuliko dar
Kwahiyo umeona nateseka sio.

Kila sehemu ina changamoto zake.

Ni kweli population ni threat kwa maeneo mengi ya Dar ila kuna wajanja wanatumia hiyo hiyo changamoto kutoboa kimaisha.
 
Nan unaemjua wewe dar katoboa kimaisha?
Mkuu,sio vizuri kutaja majina ya watu.

Alafu Kila mtu huwa ana maana yake ya kufanikiwa kimaisha, ila ni vile tu tumezoea kusema fulani katoboa.

Kuna mtu akiwa usd millionaire anaona tayari kashatoboa na tena anaweza hata akafoka majirani kwa kiburi. Na kuna mwingine akipata hicho kiasi cha fedha anaona mambo bado sana.
 
Mkuu,sio vizuri kutaja majina ya watu.

Alafu Kila mtu huwa ana maana yake ya kufanikiwa kimaisha, ila ni vile tu tumezoea kusema fulani katoboa.

Kuna mtu akiwa dollar millionaire anaona tayari kashatoboa na tena anaweza hata akafoka majirani kwa kiburi. Na kuna mwingine akipata hicho kiasi cha fedha anaona mambo bado sana.
Let's assume kutoboa is independent issue! Kutoboa sio kitu kinachoweza kutegemea mawazo ya mtu, mana kama ilivyo umaskini tu kuna watu wanakataa kuwa sio maskini lakin wanashea sifa zote za hali ya kimaisha na maskin wengine
 
Mimi pia huwa siamini kama kuna exact meaning ya mtu kuwa maskini.
 
Mkuu samahani.. nje ya mada..
Akuu Naskia ile nyimbo ya Why ya marioo mpya .. imefungiwa ety
 
Back
Top Bottom