Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
- Thread starter
-
- #21
Mm mpaka dakika hii mzee wamgu sijaend kumkagua tu kwa wakubwa mana kwa akili yake ilivyo yule anaweza akatokea kama kikwazo nikamtanguliza mbinguniHujawahi kusikia kaka au dada anamfanyia fitina mdogo wake waliozaliwa tumbo moja asifanikiwe?
Kwenye kupambania maisha na maendeleo yako kwa ujumla usimuamini na kumwambia mipango yako mtu yeyote
Tuendelee kupambana ndugu zangu walala hoi.
Mbona nimeweka mambo wazi kabisa.Hoi yako mkuu unailalia wapi?
Uko mkoa gani mkuu, mana majiji changamto yake inaeleweka. Population ni threat, ukiangalia vizur zanzibar utaona ina fursa kuliko darMbona nimeweka mambo wazi kabisa.
Kwahiyo umeona nateseka sio.Uko mkoa gani mkuu, mana majiji changamto yake inaeleweka. Population ni threat, ukiangalia vizur zanzibar utaona ina fursa kuliko dar
Kwahiyo umeona nateseka sio.
Kila sehemu ina changamoto zake.
Ni kweli population ni threat kwa maeneo mengi ya Dar ila kuna wajanja wanatumia hiyo hiyo changamoto kutoboa kimaisha.
Mkuu,sio vizuri kutaja majina ya watu.Nan unaemjua wewe dar katoboa kimaisha?
Let's assume kutoboa is independent issue! Kutoboa sio kitu kinachoweza kutegemea mawazo ya mtu, mana kama ilivyo umaskini tu kuna watu wanakataa kuwa sio maskini lakin wanashea sifa zote za hali ya kimaisha na maskin wengineMkuu,sio vizuri kutaja majina ya watu.
Alafu Kila mtu huwa ana maana yake ya kufanikiwa kimaisha, ila ni vile tu tumezoea kusema fulani katoboa.
Kuna mtu akiwa dollar millionaire anaona tayari kashatoboa na tena anaweza hata akafoka majirani kwa kiburi. Na kuna mwingine akipata hicho kiasi cha fedha anaona mambo bado sana.
Mimi pia huwa siamini kama kuna exact meaning ya mtu kuwa maskini.Let's assume kutoboa is independent issue! Kutoboa sio kitu kinachoweza kutegemea mawazo ya mtu, mana kama ilivyo umaskini tu kuna watu wanakataa kuwa sio maskini lakin wanashea sifa zote za hali ya kimaisha na maskin wengine
Wewe ni symbolic interpetivist.. unaamin kuwa "no universal truth", umaskin ni objective defined. Ukaimua kuamini unachoamini huzuiwi lakin huwez kuondoa ukweli uliopoMimi pia huwa siamini kama kuna exact meaning ya mtu kuwa maskini.
Mtu maskini maana yake ni mtu ambaye hana Mali kabisa, yaani networth yake ni 0 TZS.Mimi pia huwa siamini kama kuna exact meaning ya mtu kuwa maskini.
Mimi naamini duniani hakuna tajiri wala maskini. Hayo maneno ni watu tu wameyajenga kwenye vichwa vyao.Mtu maskini maana yake ni mtu ambaye hana Mali kabisa, yaani networth yake ni 0 TZS.
Sasa mtu Kama huyu yupo kweli ?
Fafanua mkuuTusisahau kuweka BUFFER ZONE maana maisha ya kutafuta riziki ni vita ya kwanza halafu ya Russia ๐ท๐บ na Ukraine ๐บ๐ฆ ndio inafuatia.Bila ya kuweka ukanda wa kujikinga dhidi ya maadui utashambuliwa sana na kila siku unaweza kuwa unaanza upya.
Newton 3rd lawTusisahau kuweka BUFFER ZONE maana maisha ya kutafuta riziki ni vita ya kwanza halafu ya Russia ๐ท๐บ na Ukraine ๐บ๐ฆ ndio inafuatia.Bila ya kuweka ukanda wa kujikinga dhidi ya maadui utashambuliwa sana na kila siku unaweza kuwa unaanza upya.
Hii definition ya maskini umeitole wapi?Mtu maskini maana yake ni mtu ambaye hana Mali kabisa, yaani networth yake ni 0 TZS.
Sasa mtu Kama huyu yupo kweli ?
In this materialistic world? Una elim gani mkuu mbona mawazo haya hata form four tu hawez kuwa nayo. Umaskini haupo je utajiri upo au hakuna?Mimi naamini duniani hakuna tajiri wala maskini. Hayo maneno ni watu tu wameyajenga kwenye vichwa vyao.