Usipowajibika kama mume, tambua una mume mwenzio

Usipowajibika kama mume, tambua una mume mwenzio

richaabra

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
1,472
Reaction score
3,511
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?

Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wa siku mkeo akikutana na mke wa Kichwa Kichafu kila mmoja anafuata utaratibu wa nyumba yake.

Ya saloon yanaishia huko.
Hiyo ndio inaitwa kukubaliana na hali sasa.

Akiwa nje anaweza kuendana na mazingira ya huko nje, akirudi nyumbani arejea kwenye mazingiea ya nyumbani pia.

Maisha yanenda murua kabisa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?

Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonekana ulimkubali kwa hizo mbwembwe sasa side B unaiona km haujaizoea vile
 
Kuna mwenzako hiyo 5000 ni bajet ya wiki ...kaa hapo sasa bila shaka huu ni uvivu wa kufikiri wa wanawake wengi wa kibongo kuamin upendo ni kupewa pesa nyingi ...anyway papuchi si yako mama acha ichakatwe....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini baadhi ya wanawake wanadhani kugawa uke ni kutukomoa [emoji23][emoji23] .

Utaskia nagawa kabisa.
 
Sasa kwani 5,000 haitoshelezi?

Hapo inabidi uangalie na kipato cha mumeo,siyo kwa vile Asha amesimulia anapewa 20,000 na wewe unadai hivyo hivyo!

Simama na wewe umsuport mumeo, nyinyi wote ni binadamu kama kuna mapungufu mnasaidiana.

Halafu siyo unalilia pesa ya saluni wakati ndani hamjasave chochote.
 
Back
Top Bottom