Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Mmmmh!! Wanawake wengine mna gharama afu kutafuta pesa hamjui kila kitu mnategemea kuombaHabari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app