Usipowajibika kama mume, tambua una mume mwenzio

Kwa hiyo vipato vya wanaume wote vinafanana? Hiyo unayoiona ndogo kwa wengine inatosha sana. Usiwapotoshe wanawake. Acha kuwafanya wanaume wajione wameshindwa wakati kwa kipato chao hiyo ni kubwa sana. Kweli jf ni kichaka usipokuwa makini unapotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke mwenye akil akiona hiyo buku 5 haimtosh anaanza kuuza maandaz ili kukuza kipato cha familia, ila madanga mnaona solution ni kufukuliwa mtaro

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu. Hii ni aina ya mwanamke ambaye asipopewa hela anaamini hapendwi, wakati hata yeye ana uwezo wa kutafuta hela kwa njia halali kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?

Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unaachaje hela ya matumizi? wewe hauna Mume, una hawara.... wenye waume ununua kila kitu ndani na kutoa allowance kwa Mwezi, elfu 5,10 & 20 huwa anakutana nazo kwenye suruali akifua!

Na kama kwa kipindi hiki hana huwa wanavumiliwa!
 
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?

Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Na usipotoa huduma nzur kwa mumeo hata 5000 upati hawala atakupangia nikupe shilingi ngapi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?

Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
kawaida yenu Wazaramo mafiga 3
 
Na hapa je? Inaonekana huyu anapenda sana kuhondomolwa kama kweli ni mke wa mtu basi ni hasara.

Wanaume mnayotufanyia wake za watu kwenye Daladala "mungu anawaona"- Jamii Forums.
 
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?

Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
 
Back
Top Bottom