Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Maisha ni kusaidiana ukisubiri upewe kila kitu kwa zama hizi utaishia kugeuzwa geuzwa kama chapati.
Sad.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sad.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mitaahira hii mijanamke, yaani anapata mume anayemjali, ishu ni kipato tuu, anadanganyika na wa nje wanaompa karanga za kuonjeshwa bas anawazawadia na uchi kabisa wanamla wanamkimbia, anaona km ndo nafsi yake inanufaika, yaani...Kwanini baadhi ya wanawake wanadhani kugawa uke ni kutukomoa [emoji23][emoji23] .
Utaskia nagawa kabisa.
Kuna siku nlimrushia gf wangu pesa akanirudishia kwa kejeli ooh mimi ndo wa kunipa hii hela hii... yaani nelly unanirushia hii hela...chukua hela yako, bas wala sijahangaika naye nikamwambia kumbe unakariri kila siku ntakutumia nyingi nyingi, siku nikiwa sina si utasepa fasta, so ili tusije kuaibishana mbele ya safari we sepa sahv tuu kabla mambo hayajafika mbaliTabia za Kipuuzi hizo, kama mwanamke hajielewi basi, yani unapewa pesa unadegua?? Buku tano kubwa sana
uamuzi mzuri kabisaKuna siku nlimrushia gf wangu pesa akanirudishia kwa kejeli ooh mimi ndo wa kunipa hii hela hii... yaani nelly unanirushia hii hela...chukua hela yako, bas wala sijahangaika naye nikamwambia kumbe unakariri kila siku ntakutumia nyingi nyingi, siku nikiwa sina si utasepa fasta, so ili tusije kuaibishana mbele ya safari we sepa sahv tuu kabla mambo hayajafika mbali
Hilo nalo neno....they can take it or leave it[emoji108] [emoji108]Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahahahahnaona Wajumbe mnatofautiana....
Tukumbushane wanawake(Jifunze kuishi bila yeye) - JamiiForums
Usipowajibika kama Mume jua una Mume mwenzio - JamiiForums
hivi kwanini baadhi ya wanawake wanadhani kugawa uke ni kukomoa mwanaume???
Safi umeandika maneno mazuriSasa kwani 5,000 haitoshelezi?
Hapo inabidi uangalie na kipato cha mumeo,siyo kwa vile Asha amesimulia anapewa 20,000 na wewe unadai hivyo hivyo!
Simama na wewe umsuport mumeo, nyinyi wote ni binadamu kama kuna mapungufu mnasaidiana.
Halafu siyo unalilia pesa ya saluni wakati ndani hamjasave chochote.
Kumekucha na makucha yake .....wacha nikae mstari wa pili niondoe stress za kuchaniwa mkeka
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wala hatubabaiki na maneno ya vitisho.mkipenda raha za kupitiliza na mauvivu yenu ya kuoetipeti sisi pia tuna nyamaza ila tunapata faraja kwa wanawake wenzenuHabari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
mi sijaoaa siwezi semaaa chochote ila mlio oa toeni povuu jamaa kazinguaaaHabari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi mkuuHabari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namuonea huruma shemejiHabari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke mwenye akil akiona hiyo buku 5 haimtosh anaanza kuuza maandaz ili kukuza kipato cha familia, ila madanga mnaona solution ni kufukuliwa mtaroHabari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?