Lazima tutofautiane ili tupate matokeo yaliyo boranaona Wajumbe mnatofautiana....
hawa fanani wanawachanganya hadhira sasa sijui wanabodi watamfuata nani.
Basi kila mmoja atafuata anapoona panafaahawa fanani wanawachanganya hadhira sasa sijui wanabodi watamfuata nani.
Mwisho wa siku mkeo akikutana na mke wa Kichwa Kichafu kila mmoja anafuata utaratibu wa nyumba yake.
Hiyo ndio inaitwa kukubaliana na hali sasa.Mwisho wa siku mkeo akikutana na mke wa Kichwa Kichafu kila mmoja anafuata utaratibu wa nyumba yake.
Ya saloon yanaishia huko.
Unaonekana ulimkubali kwa hizo mbwembwe sasa side B unaiona km haujaizoea vileHabari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini baadhi ya wanawake wanadhani kugawa uke ni kutukomoa [emoji23][emoji23] .Kuna mwenzako hiyo 5000 ni bajet ya wiki ...kaa hapo sasa bila shaka huu ni uvivu wa kufikiri wa wanawake wengi wa kibongo kuamin upendo ni kupewa pesa nyingi ...anyway papuchi si yako mama acha ichakatwe....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana mkuu hahahaHiyo ndio inaitwa kukubaliana na hali sasa.
Akiwa nje anaweza kuendana na mazingira ya huko nje, akirudi nyumbani arejea kwenye mazingiea ya nyumbani pia.
Maisha yanenda murua kabisa hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha ukweli mchungu hahaha, mwambie huyo mkuuKuna mwenzako hiyo 5000 ni bajet ya wiki ...kaa hapo sasa bila shaka huu ni uvivu wa kufikiri wa wanawake wengi wa kibongo kuamin upendo ni kupewa pesa nyingi ...anyway papuchi si yako mama acha ichakatwe....
Sent using Jamii Forums mobile app