Usipowajibika kama mume, tambua una mume mwenzio

Mmmmh!! Wanawake wengine mna gharama afu kutafuta pesa hamjui kila kitu mnategemea kuomba



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe hata ukishughulikiwa ni nyapu yako,na lazima ujiongeze kwa kujitafutia kipato ili kumsaidia mmeo uza haya chapati,sio kukaa tuu kwenye kioo na kulegeza mitako tu,wenzio watafuta pesa ya kula na Mme anatafuta pesa za kujenga
 
Ndo maana amuolewi kwa ajiri ya nyodo zenu,ndo maisha yake yanaruhusu kuwa hivyo awezi kufosi maisha.pia maisha ni kusaidiana kwa lawama hizi kweli nimeamini mwanamke akiwa na milion na mume una laki tano hesabu kuna laki tano ndani.
 
Naww pia utasaidiwa tu ngoma droo haonewi mtu mwaga mboga nimwage ugali kwan nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio tunafanya makusudi jamani.

Hali zetu haziruhusu.

Hiyo PESA ya BRAZIL kichwani ni bora itusaidie matumizi mengine ili tupate kusukuma siku.

Mtusamehe jamani
 
Ujumbe huu uwafikie wanaume wale wanaume wa dar na wale ambao kuhudumia kwao ni tatizo.

Ila na nyie kina dada baadhi yenu mkipiga mabomu yasiyo na msingi ..mkintimwa mnaanza kusingizia kuto kuhudumiwa.

Kama mnataka kuhudumiwa muwe na sababu concrete.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama tabia yako ni kuonja onja mishedede hata mumeo akupe kila kitu na kukugegeda kila siku bado utatoka tu.
Hivi hali ilivyo ngumu kiasi hiki bado mnawaza kuweka nywele dawa?????
 
Wewe hata ukishughulikiwa ni nyapu yako,na lazima ujiongeze kwa kujitafutia kipato ili kumsaidia mmeo uza haya chapati,sio kukaa tuu kwenye kioo na kulegeza mitako tu,wenzio watafuta pesa ya kula na Mme anatafuta pesa za kujenga
Ni kweli maisha ya sasa ni kusaidiana huwezi tegemea pesa ya kuachiwa kuna siku tunakosa hata hela ya nauli
Harafu mjinga mmoja eti usipowajibika kama mume? kupigiwa kitu gani bana maisha yenyewe haya hatukumbuki kwa mara ya mwisho tumecheka lini maisha yamebana mpaka basi mtu analeta upuuzi wake inakela sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njooo Dm tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na akiona kugegedwa nje ndiyo suluhisho,ni kumruhusu ahamie huko huko kabisa,(asirudi) ili ahudumiwe huko milele!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…