Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Aiseer[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni Mwanaume lakini nisikiapo mtu anafanya hayo ni bora asaidiwe tuu. Ila ukifumaniwa akikufukuza pia usipige mayowe.
Kweli kabisa mkuu. Hii ni aina ya mwanamke ambaye asipopewa hela anaamini hapendwi, wakati hata yeye ana uwezo wa kutafuta hela kwa njia halali kabisaMwanamke mwenye akil akiona hiyo buku 5 haimtosh anaanza kuuza maandaz ili kukuza kipato cha familia, ila madanga mnaona solution ni kufukuliwa mtaro
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.

kawaida yenu Wazaramo mafiga 3Habari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?
Pesa ya saluni hutoi hata kumnunulia nguo mkeo unaona hasara alafu unataka apendeze, wanaume msipowajibika vizuri jueni mna wasaidizi wenu wa kutushuhulikia na kutupendezesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza huyu mwenyewe huoni hata avatar yake, yupo kwenye matangazo mkuu.naona Wajumbe mnatofautiana....
Tukumbushane wanawake(Jifunze kuishi bila yeye) - JamiiForums
Usipowajibika kama Mume jua una Mume mwenzio - JamiiForums
hivi kwanini baadhi ya wanawake wanadhani kugawa uke ni kukomoa mwanaume???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali huyo anaacha, mimi siachi kabisa, naenda sokoni mwenyewe....
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaHabari ndio hiyo, Mwanaume mzima bila aibu una ndevu zako kabisa asubuhi unaacha mezani 5,000 ya matumizi huoni aibu?