Usipowasamehe waliokukosea, unajipeleka mwenyewe katika moto wa milele!

Setfree

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
6,238
Reaction score
8,194
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk

Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.

Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"

Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.

Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
 
Je, unajua kwamba msamaha na upatanisho vimepewa kipaumbele kuliko hata kutoa sadaka? Ndivyo ilivyo. Usiposamehe na kujipatanisha na ndugu yako, ibada na sadaka yako havikubaliki mbele za Mungu.
"Basi, ukiileta sadaka yako madhabahuni, na huku unakumbuka ya kwamba ndugu yako ana neno juu yako, uiache sadaka yako hapo mbele ya madhabahu, uende ukapatane kwanza na ndugu yako, ndipo uje uitoe sadaka yako.” (Mathayo 5:23-24)

Andiko hilo maana yake ni kwamba ukitoa sadaka wakati bado hujapatana na ndugu yako au kabla hujamsamehe, sadaka zako ni batili mbele za Mungu.
 
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk

Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.

Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"

Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.

Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
Sawa, mkuu. Ila kuna wengine sijui wanafanya makusudi au sijui ni nini. Ukimsamehe kosa lake leo, kesho anakuja tena anakufanyia kosa lile lile. Inafika mahali unachoka kusamehe.
 
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk

Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.

Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"

Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.

Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
Ni kweli madamu ukiwa na roho ya kusamehe hata presha na stress zinapungua tena tunakuwa na ujasiri was kumwoba Mungu atusamehe
 
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk

Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.

Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"

Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.

Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
mbona hawapo tayari kusamehewa...nawanajua hawajakosea iweje ujipendekeze kuwasamehe wasiojua makosa yao?
 
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk

Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.

Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"

Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.

Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
Usipowasamehe vile vile unakuwa unamzuia Mungu kuwapiga; assuming wao ndiyo wana makosa halafu wewe ni innocent

Mungu huwa hapigi maadui wa mtu ambaye amekosewa halafu na yeye tena akawachukia maadui zake. Mungu huwa anawatandika, tena vizuri sana, maadui zako waliokukosea ambao huwachukii; isispokuwa Ukiwachukia tu, Mungu hawezi kuwapiga
 
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk

Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.

Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"

Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.

Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
Siwezi kumsamehe mwana CCM hata siku moja, tutakula na tutacheka ila nitakua namlia timing tu kama Abneli
 
Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk

Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.

Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"

Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.

Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
CC sifi leo

Unapotaka kumsamehe kumbuka hili
1748358920535.jpg
 
CC sifi leo

Duh, anaomba asamehewe lakini yeye hataki kusamehe
 
Back
Top Bottom