Usipowasamehe waliokukosea, unajipeleka mwenyewe katika moto wa milele!

Usipowasamehe waliokukosea, unajipeleka mwenyewe katika moto wa milele!

Daah, fimbo mbili za mpera! Kweli njia ya mbinguni ni nyembamba, nao waionao ni wachache..
Jifunze kwa Yesu. Alivishwa taji ya miba, akasulibiwa msalabani, akachomwa mkuki.. Lakini bado aliwaombea msamaha waliomfanyia huo uovu
Yesu babake na kwao wana hela. Mimi siwezi aisee.
 
Ni kanuni tu za kizungu, jinsi walivyowatesa mababu zetu uwasamehe tu ili uende mbinguni. Amri zote wameweka wazungu mf. Usiibe ni usiwaibie, usiabudu Mungu mwingie ili uabudu Mungu wao wa Israel uachane na Mungu wako. Ni lini tutafungua macho yetu??
 
Saa hii matoto ya waafrika huko ulaya na marekani yanawasumbua ni majeuri na matukutu balaa.
 
Yesu babake na kwao wana hela. Mimi siwezi aisee.
Sawa, endelea tu kushupaza shingo na kusema huwezi kusamehe.
Sekunde moja tu utakapokuwa ndani ya moto utajuta kwanini hukuwasamehe waliokukosea
 
Back
Top Bottom