Sawa, mkuu. Ila kuna wengine sijui wanafanya makusudi au sijui ni nini. Ukimsamehe kosa lake leo, kesho anakuja tena anakufanyia kosa lile lile. Inafika mahali unachoka kusamehe.Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.
Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"
Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.
Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
Ni kweli madamu ukiwa na roho ya kusamehe hata presha na stress zinapungua tena tunakuwa na ujasiri was kumwoba Mungu atusameheNaongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.
Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"
Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.
Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
mbona hawapo tayari kusamehewa...nawanajua hawajakosea iweje ujipendekeze kuwasamehe wasiojua makosa yao?Naongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.
Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"
Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.
Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
Usipowasamehe vile vile unakuwa unamzuia Mungu kuwapiga; assuming wao ndiyo wana makosa halafu wewe ni innocentNaongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.
Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"
Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.
Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
Siwezi kumsamehe mwana CCM hata siku moja, tutakula na tutacheka ila nitakua namlia timing tu kama AbneliNaongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.
Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"
Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.
Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
CC sifi leoNaongea na wewe uliyekataa kumsamehe ndugu yako, jirani yako, mke wako, mme wako, mzazi wako nk
Hapo ulipo huenda una kinyongo naye; umejaa chuki dhidi yake, hutaki hata kumuona au kumsalimia. Yamkini unapanga pia kulipiza kisasi.
Inawezekana huyo uliyekataa kumsamehe, yumo humu humu JF na umeamua kumuweka kwenye "ignore list"
Tafadhali sana nakusihi msamehe kuanzia leo. Msamaha sio chaguo la hiari; ni amri ya Mungu. Mtu anayekataa kuachilia dhambi za wengine, yeye pia hataachiliwa/hatasamehewa. Mtu huyo akifa na moyo huo usiosamehe, anakuwa amejipeleka mwenyewe katika moto wa milele.
Yesu anasema:
“Maana mkiwasamehe watu makosa yao, Baba yenu wa mbinguni atawasamehe nyinyi pia. Lakini msipowasamehe watu makosa yao, naye Baba yenu hatawasamehe nyinyi makosa yenu..” (Mathayo 6:14-15)
AminaUbarikiwe
Duh, anaomba asamehewe lakini yeye hataki kusameheCC sifi leo
Watanzania mnisamehe simsamehi Polepole, nikimsamehe Lissu risasi itamtoka mgongoni? Ben Saanane, Mawazo, Azovory Gwanda watafufuka?
Mimi staki dhambi, staki UNAFIKI kamwe siwezi msamehe Pole pole mpaka kihama huyu ni mtu aliyeshiriki.mauaji ya watanzania Ili ccm itawale Nisamehe Ili aende akawe baba wa mtoto wa Alphonso mawazo? Au akawe Baba wa mtoto wa Ben rabiu saa nane Au akamrudishie viungo vyake vya Tako Mh Tundulisu...www.jamiiforums.com