Daah, fimbo mbili za mpera! Kweli njia ya mbinguni ni nyembamba, nao waionao ni wachache..
Jifunze kwa Yesu. Alivishwa taji ya miba, akasulibiwa msalabani, akachomwa mkuki.. Lakini bado aliwaombea msamaha waliomfanyia huo uovu
Ni kanuni tu za kizungu, jinsi walivyowatesa mababu zetu uwasamehe tu ili uende mbinguni. Amri zote wameweka wazungu mf. Usiibe ni usiwaibie, usiabudu Mungu mwingie ili uabudu Mungu wao wa Israel uachane na Mungu wako. Ni lini tutafungua macho yetu??