Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimetabasamu kwa sababu kifungua kinywa changu huwa ni matunda, hasa ndizi mbivu.Tunachokosea ni kula matunda baada ya kula... matunda kabla ya msosi hasa asubuhi ni tiba tosha.
Poa yanaongeza sana nguvu za kiune Kwa wanaume,me ni shahidi.Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika.
Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki.
Imeshakuwa ni kawaida yangu kula matunda kila siku. Ni nadra sana siku kupita bila kula matunda.
Kuna kipindi niliamua kutokula chakula kingine chochote, isipokuwa matunda tu, kwa wiki kama moja hivi. Ilikuwa niendelee kufanya hivyo kwa muda mrefu zaidi, lakini nilibadilisha msimamo baada ya kusoma mtandaoni kuwa kula matunda pekee kunaweza kusababisha upungufu wa baadhi ya virutibisho mwilini.
Kwa siku hizi, ratiba yangu ni kama ifuatavyo:
Ninapoamka Asubuhi, kabla ya kupiga mswaki, napata kijiko kimoja cha asali mbichi.
Baadaye, nikishapiga mswaki, napata "breakfast" ya matunda na kisha kuelekea kazini. Chai nainywa saa nne kazini.
Mchana napata lunch ya kawaida, lakini ikishafika saa kumi na mbili Jioni, nimekuwa nikikwepa kula chakula cha kawaida. Imekuwa ni nadra sana Mimi kula chakula cha kawaida kama wali, ugali, n.k. baada ya saa kumi na mbili Jioni. Nakula matunda peke yake. Na Usiku kabla ya kulala, ninapata tena kijiko kimoja cha asali.
Matunda ambayo nimekuwa nikiyala kila siku ni ndizi mbivu na machungwa. Mara nyingi nakula ndizi 2 Asubuhi na mbili Jioni, ingawa wakati mwingine nazidisha kidogo, pamoja na chungwa moja Asubuhi na moja Jioni. Lakini huwa napishanisha kwa muda ulaji wa hayo matunda: ndizi na machungwa. Siyali pamoja.
Aidha, nimekuwa pia nikila karoti mara tatu kwa wiki: Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Vile vile, nimekuwa nikila parachichi mara mbili kwa wiki.
Baada ya kutembea na hiyo ratiba kwa mwezi mmoja hivi, nimeona matokea chanya ya kiafya. Ngozi ya mwili wangu imekuwa na mng'ao mzuri wa kiafya ambao naamini ni matokeo ya ulaji wa matunda.
Si lazima ufanye kama mimi, lakini jitahidi kula matunda, ikiwezekana, kika siku. Ni muhimu sana.
Kula matunda kila siku wewe na wapendwa wako. Naamini huo ni uwekezaji mzuri wa kiafya.
Tende zisikose kwenye list yako.Mimi ni mdau wa matunda
Matikiti maji yameshuka sana bei Scandinavia
Mzuka wanaJamvi! Mimi ni shabiki mkubwa wa kula matunda. Napenda sana matunda. Nikijaga homu likizo yani nikutafuna tu matunda kwasababu nchi yetu tumebarikiwa na matunda mengi ya kila aina tena ya asili kwa bei rahis ya kutupwa tena kwa wingi. Inasikitisha sana watu hawachangamkii hii fursa...www.jamiiforums.com
adriz
Ndiyo, Apple na Tende. Huwa nazitumia pia, hasa tende, ni kawaida kuzikuta kwangu sema si mara nyingi napata fursa ya kuzila. Ndizi na chungwa zimekaba nafasi.Kwenye hiyo list yako ongezea na Apple [emoji519][emoji520]
Nashukuru mkuu, ila wakati mwingine ni kama vile wataalamu wanatuchanganya.Mkuu,
Huu n ujumbe mzuri,mm pia n mdau wa matunda japo siku hiz nmeacha kuyapa uzito kama mlo unaojitegemea .ilkua dinner n matunda
Ila nina hoja hapa ,
Wataalamu wa afya wanasema matunda yaliwe kwa akili na kwa uangalifu mkubwa kwan mwili hauna mfumo tofaut wa kuchakata sukar ya matunda (natural) na sukar artificial (ambazo tunaambiwa ndio mbaya kwa afya kama soda,juyce,nk) yaan mwili unachakata sukar kama sukar
Hvyo matunda yenye sukar nying kama tikit,ndiz,machungwa,nanasi yakiliwa kwa kais kingi yana athari sawa na alyekunywa soda/pombe/juyce za viwandan naamnukuu Dr.boaz mkumbo
Bado sjamnukuu dr Janabi [emoji28]
Science ya lishe imenishinda kabisa
Ila nafkiri kila chakula kitumike kwa kias kidogo hasa wanga,sukar na mafuta..tutakua kwenye nafasi ya kupata matokeo mazur ya kiafya.
Matunda ni chakula bora kuliko vyote duniani sema mindset zetu ndo zinatucost. Hebu fikiria KWANINI MUNGU ALIWAWEKA BINADAMU WA KAWANZA KATIKA BUSTANI YA EDENI ILIYOSHEHENI MATUNDA YA KILA AINA?Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika.
Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki.
Imeshakuwa ni kawaida yangu kula matunda kila siku. Ni nadra sana siku kupita bila kula matunda.
Kuna kipindi niliamua kutokula chakula kingine chochote, isipokuwa matunda tu, kwa wiki kama moja hivi. Ilikuwa niendelee kufanya hivyo kwa muda mrefu zaidi, lakini nilibadilisha msimamo baada ya kusoma mtandaoni kuwa kula matunda pekee kunaweza kusababisha upungufu wa baadhi ya virutibisho mwilini.
Kwa siku hizi, ratiba yangu ni kama ifuatavyo:
Ninapoamka Asubuhi, kabla ya kupiga mswaki, napata kijiko kimoja cha asali mbichi.
Baadaye, nikishapiga mswaki, napata "breakfast" ya matunda na kisha kuelekea kazini. Chai nainywa saa nne kazini.
Mchana napata lunch ya kawaida, lakini ikishafika saa kumi na mbili Jioni, nimekuwa nikikwepa kula chakula cha kawaida. Imekuwa ni nadra sana Mimi kula chakula cha kawaida kama wali, ugali, n.k. baada ya saa kumi na mbili Jioni. Nakula matunda peke yake. Na Usiku kabla ya kulala, ninapata tena kijiko kimoja cha asali.
Matunda ambayo nimekuwa nikiyala kila siku ni ndizi mbivu na machungwa. Mara nyingi nakula ndizi 2 Asubuhi na mbili Jioni, ingawa wakati mwingine nazidisha kidogo, pamoja na chungwa moja Asubuhi na moja Jioni. Lakini huwa napishanisha kwa muda ulaji wa hayo matunda: ndizi na machungwa. Siyali pamoja.
Aidha, nimekuwa pia nikila karoti mara tatu kwa wiki: Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Vile vile, nimekuwa nikila parachichi mara mbili kwa wiki.
Baada ya kutembea na hiyo ratiba kwa mwezi mmoja hivi, nimeona matokea chanya ya kiafya. Ngozi ya mwili wangu imekuwa na mng'ao mzuri wa kiafya ambao naamini ni matokeo ya ulaji wa matunda.
Si lazima ufanye kama mimi, lakini jitahidi kula matunda, ikiwezekana, kika siku. Ni muhimu sana.
Kula matunda kila siku wewe na wapendwa wako. Naamini huo ni uwekezaji mzuri wa kiafya.
Mimi nilipo matunda hadimu sana ila kuna tikiti na tango tu na samaki wapo wakimwaga na kuku wa kienyeji na maziwa ya kienyeji na majani ya maboga mikunde kisamvu mchicha dona sana na bakuli la majani ya maboga na samaki mchemshoShukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika.
Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki.
Imeshakuwa ni kawaida yangu kula matunda kila siku. Ni nadra sana siku kupita bila kula matunda.
Kuna kipindi niliamua kutokula chakula kingine chochote, isipokuwa matunda tu, kwa wiki kama moja hivi. Ilikuwa niendelee kufanya hivyo kwa muda mrefu zaidi, lakini nilibadilisha msimamo baada ya kusoma mtandaoni kuwa kula matunda pekee kunaweza kusababisha upungufu wa baadhi ya virutibisho mwilini.
Kwa siku hizi, ratiba yangu ni kama ifuatavyo:
Ninapoamka Asubuhi, kabla ya kupiga mswaki, napata kijiko kimoja cha asali mbichi.
Baadaye, nikishapiga mswaki, napata "breakfast" ya matunda na kisha kuelekea kazini. Chai nainywa saa nne kazini.
Mchana napata lunch ya kawaida, lakini ikishafika saa kumi na mbili Jioni, nimekuwa nikikwepa kula chakula cha kawaida. Imekuwa ni nadra sana Mimi kula chakula cha kawaida kama wali, ugali, n.k. baada ya saa kumi na mbili Jioni. Nakula matunda peke yake. Na Usiku kabla ya kulala, ninapata tena kijiko kimoja cha asali.
Matunda ambayo nimekuwa nikiyala kila siku ni ndizi mbivu na machungwa. Mara nyingi nakula ndizi 2 Asubuhi na mbili Jioni, ingawa wakati mwingine nazidisha kidogo, pamoja na chungwa moja Asubuhi na moja Jioni. Lakini huwa napishanisha kwa muda ulaji wa hayo matunda: ndizi na machungwa. Siyali pamoja.
Aidha, nimekuwa pia nikila karoti mara tatu kwa wiki: Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Vile vile, nimekuwa nikila parachichi mara mbili kwa wiki.
Baada ya kutembea na hiyo ratiba kwa mwezi mmoja hivi, nimeona matokea chanya ya kiafya. Ngozi ya mwili wangu imekuwa na mng'ao mzuri wa kiafya ambao naamini ni matokeo ya ulaji wa matunda.
Si lazima ufanye kama mimi, lakini jitahidi kula matunda, ikiwezekana, kika siku. Ni muhimu sana.
Kula matunda kila siku wewe na wapendwa wako. Naamini huo ni uwekezaji mzuri wa kiafya.
Kuku wa kienyeji!Mimi nilipo matunda hadimu sana ila kuna tikiti na tango tu na samaki wapo wakimwaga na kuku wa kienyeji na maziwa ya kienyeji na majani ya maboga mikunde kisamvu mchicha dona sana na bakuli la majani ya maboga na samaki mchemsho
.Shukrani ziwaendee wote waliotoa mada zinazohusiana na ulaji matunda humu jukwaani. Natumaini kuna walionufaishwa na hiyo Elimu kama nami nilivyonufaika.
Nilikuwa ninafahamu kuwa ni muhimu kula matunda kila siku, lakini JF kumeniongezea maarifa na kunihamsisha kuchukua hatua stahiki.
Imeshakuwa ni kawaida yangu kula matunda kila siku. Ni nadra sana siku kupita bila kula matunda.
Kuna kipindi niliamua kutokula chakula kingine chochote, isipokuwa matunda tu, kwa wiki kama moja hivi. Ilikuwa niendelee kufanya hivyo kwa muda mrefu zaidi, lakini nilibadilisha msimamo baada ya kusoma mtandaoni kuwa kula matunda pekee kunaweza kusababisha upungufu wa baadhi ya virutibisho mwilini.
Kwa siku hizi, ratiba yangu ni kama ifuatavyo:
Ninapoamka Asubuhi, kabla ya kupiga mswaki, napata kijiko kimoja cha asali mbichi.
Baadaye, nikishapiga mswaki, napata "breakfast" ya matunda na kisha kuelekea kazini. Chai nainywa saa nne kazini.
Mchana napata lunch ya kawaida, lakini ikishafika saa kumi na mbili Jioni, nimekuwa nikikwepa kula chakula cha kawaida. Imekuwa ni nadra sana Mimi kula chakula cha kawaida kama wali, ugali, n.k. baada ya saa kumi na mbili Jioni. Nakula matunda peke yake. Na Usiku kabla ya kulala, ninapata tena kijiko kimoja cha asali.
Matunda ambayo nimekuwa nikiyala kila siku ni ndizi mbivu na machungwa. Mara nyingi nakula ndizi 2 Asubuhi na mbili Jioni, ingawa wakati mwingine nazidisha kidogo, pamoja na chungwa moja Asubuhi na moja Jioni. Lakini huwa napishanisha kwa muda ulaji wa hayo matunda: ndizi na machungwa. Siyali pamoja.
Aidha, nimekuwa pia nikila karoti mara tatu kwa wiki: Jumatatu, Jumatano na Ijumaa. Vile vile, nimekuwa nikila parachichi mara mbili kwa wiki.
Baada ya kutembea na hiyo ratiba kwa mwezi mmoja hivi, nimeona matokea chanya ya kiafya. Ngozi ya mwili wangu imekuwa na mng'ao mzuri wa kiafya ambao naamini ni matokeo ya ulaji wa matunda.
Si lazima ufanye kama mimi, lakini jitahidi kula matunda, ikiwezekana, kika siku. Ni muhimu sana.
Kula matunda kila siku wewe na wapendwa wako. Naamini huo ni uwekezaji mzuri wa kiafya.
Inaburudiaha kuitazama!
Uliyaona hayo kila aina ya matunda?Matunda ni chakula bora kuliko vyote duniani sema mindset zetu ndo zinatucost. Hebu fikiria KWANINI MUNGU ALIWAWEKA BINADAMU WA KAWANZA KATIKA BUSTANI YA EDENI ILIYOSHEHENI MATUNDA YA KILA AINA?
Unadhani hakuna nyama kipindi kile?
La hasha!
Alijua matunda ni bora kuliko chochote,,,TULE MATUNDA KWA AFYA ZETU.
Una tofauti gani na asiyekula ukijiangaliaMe kila siku nakula Tikiti