Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

Mtu alishasema yeye hajaribiwi yaani yeye ni MUNGU,akasema yeye hashauriki na asitokee mtu kujaribu kumshauri,sasa ukitaka SSH afanye nini

Au wewe msukuma mwenzie ulikua wapi kumshauri?
 
Mtu alishasema yeye hajaribiwi yaani yeye ni MUNGU,akasema yeye hashauriki na asitokee mtu kujaribu kumshauri,sasa ukitaka SSH afanye nini

Au wewe msukuma mwenzie ulikua wapi kumshauri?
SSH alimuuza
 
Ndungai ni MFUKUNYUKU alichofanya amefukua alichofukia paka wake aliyek...unya kwenye unga
 
Mtu alishasema yeye hajaribiwi yaani yeye ni MUNGU,akasema yeye hashauriki na asitokee mtu kujaribu kumshauri,sasa ukitaka SSH afanye nini

Au wewe msukuma mwenzie ulikua wapi kumshauri?

Hapo sasa,inashangaza
 
Wewe umekiri ni Mdini. Umeibuka hapa na hoja yako mufilisi sababu ni wazi umekerwa na Rais Muislamu kukosolewa na Ndugai, na umekuja kumtetea, kama mlivyokuwa wew na Wadini wenzako enzi za JK. Wote mlipotea Magu alipoingia.

Low profile,hebu tafuta wa level zako uongee nao,

Nishakupuuza
 
Aliwaambia nchi ni tajiri, kulipa madeni kwake ni rahisi , ndio maana alipambana na mafisadi na wapiga dili, mkamchukua. Pumzika kwa amani Baba.
 
Low profile,hebu tafuta wa level zako uongee nao,

Nishakupuuza
Wewe zaidi ya kurudia maudhui ya hoja aliyosema SSH kama kasuku, tena bila ya kuongeza lolote la maana sababu ni Muislamu mwenzako, unajiona una weledi sana? Nini kipya ulichoongeza zaidi ya kupeleka lawama kwa Rais aliyefariki ili kukamilisha hoja ya "mama" yako? Pumbaaf!
 

Hata ukiumia kwa Samia kuwa president haikusaidii,na huyo RAIS aliefarik unaemsema tunampa lawama ni kweli anastahiki kupewa hizo lawama na lazima zisemwe tuh,kama umeumia jitie kitanzi umfuate,.mpumba.vu ni ww..!!!
 
Wacha waandamane eee waandamane ccm mbele kwa mbele,,,hatinywi sumu hatujinyongi ccm mbele kwa mbeleeeeeee,,,,,,,bi tozo mwenyewe ana habari sasa??
 
Kumfanya Magufuli aonekane Muongo hakumpi nafuu yeyote ile anayetakiwa kufanya maamuzi kuhusiana na jambo fulani,

Itafikia mahali baada ya propaganda watu watakupima kwa ulichokifanya wewe mwenyewe na sio yule unayemnanga.
 

HAKUNA USIRI WOWOTE, MIKATABA NA MIKOPO ILIKUWA INATAJWA VYEMA KABISA. UMETENGENEZA KITU AMBACHO HAIKIPO, KISHA UNAKIJENGEA HOJA??????

PUMBAVU
 
wewe unauhakika gani kama hii miradi magufuli alikopa kuitekeleza? tupe evidence hats ya document moja hapa. kipi kunachojufanya kuwaamini hawa wa sasa na si magufuli?
 
Iipo hili njemba na Faiza Foxy wakiona mtawala amekaa kiparokia parokia wana tabia ya kununa ama kuponda the vice versa is true
 
Japo umeandika ukweli mtupu.. lakini wana JF wa muda mrefu tunakujua wewe Ni mdini..wewe kazi yako kubwa Ni kutetea kiongozi yeyote wa dini yako kwa gharama yoyote na kuponda kiongozi mwenye dini tofauti na yako..
Bado Bibi Faiza..na yeye siku si nyingi ataibuka..
 

Waamuzi 14:4

Wazazi wa Samson walimkataza sana kuhusu Delilah lakini hawakujua kwamba huo ulikuwa mpango wa Mwenyezi-Mungu ambaye alikuwa anatafuta kisa cha kuchukua hatua dhidi ya Wafilisti.


Aendelee kupumzika kwa amani John Pombe Joseph Magufuli 🙏
 
“Pedagogic at heart” kapotea sana atakuwa Oman kapata her dream job kama dada wa nyumbani kwa Mwarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…