Usiri watanda ajali ya Naibu Waziri Tamisemi

Usiri watanda ajali ya Naibu Waziri Tamisemi

Kama ni kweli basi anangojewa apone tu kisha wanakula kichwa. Mama ni muungwana hawezi kumtumbua mgonjwa.

Ingekuwa enzi za mzalendo Ngosha basi unaliwa kichwa ukiwa na mabandeji yako usoni, hakuwa na mzaha.
Tuache chuki hii issue ni personal
 
Mimi nitasema ukweli juu ya kifo hichiii naibu waziri ndo mhusika mkuu na hawezi kutumia njia yoyote Ile kujisafisha

Kwanini mnaficha ukweli ambao tayari unajulikana

Mwanafunzi wa UDOM, Nusura Hassan Abdallah anafar-
iki 29/04/2023 kifo chake kinatangazwa 04/05/2023, siku
6 baadae?

Hakuna taarifa za Jeshi la Polisi (pia kutoka kwa
tabibu) za kuuwawa kwa (kwa kipigo) Nusura, Moshi,
Kilimanjaro hadi sasa.

Hakuna taarifa za kukamatwa kwa huyo aliyetajwa bila
jina kuwa "mpenzi wake. Mtuhumiwa pia hajatajwa
popote katika taarifa.

UDOM, Wamefahamu vipi alikwenda Moshi kwa
mpenzi wake? Kwanini wamtambue ni mpenzi wake?
Walizungumza na marehemu?

UDOM walijuaje chanzo cha kifo cha Nusura ni kupigwa
na mpenzi wake? Walifanya postmortem? Walipewa
taarifa za kitabibu? Na nani?

Nusura amefariki siku ambayo Polisi-Dodoma
waliamua kutangaza ajali ya Naibu Waziri
OR-TAMISEMI 29/04/2023. Coincidence?

Source: unacknowledged
IMG_20230506_125631_346.jpg
 
Kama ni kweli basi anangojewa apone tu kisha wanakula kichwa. Mama ni muungwana hawezi kumtumbua mgonjwa.

Ingekuwa enzi za mzalendo Ngosha basi unaliwa kichwa ukiwa na mabandeji yako usoni, hakuwa na mzaha.
Mama asiyewezi hata kumfukuza nzi ndo aje apate ujasir wa kumfukuza Naibu hapana
 
Tuache chuki hii issue ni personal
Haiwezi kuwa personal kwa kuwa imefanywa na kiongozi wa umma, Ukishakuwa kiongozi wewe ni kioo, unatakiwa kuwa msafi, Labda kama shule tulienda kujifunza ujinga, na kutokuelemika, hata miiko na maadili ya viongozi hujui.
 
Back
Top Bottom