Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Mungu ambaye mnadai ni muweza wa vyote, kama kweli hapendi dhambi, angeliweza kuumba Dunia isiyo na dhambi wala uovu.Ni kweli mkuu mimi kuna dhambi iliniwia vigumu kuacha tuporngraph yani ni kama nilikuwa na pumzika tu then narudi mzgoni ila namshukuru MUNGU amenisaidia, so hatutakiwi kurudia dhambi maana mlango wa rehema unaweza ukafungwa!
Kweli uponyaji unaupata sio mpaka kanisani, Shukrani Sana Mtumishi Mungu akutumia vyema leo Amen!Yn 5:14 SUV
[14] Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi.
Matatizo mengine tunayafungulia mlango wenyewe, mlango ambao unaingiza kila tatizo la kutuumiza kiroho na kimwili.
Tunaweza kufikiri magonjwa tunayougua ni magonjwa ya kawaida kama mengine, ila mengine yanatokana na kujitenga na Mungu kwa matendo yetu maovu.
Jambo hili sio geni kwetu, tumeona watu wakipimwa na kukosekana ugonjwa wanaoumwa, au mtu anajulikana shida yake ila akipewa dawa za kutibu hilo tatizo haliponi, hata kama atabadilisha kila dawa.
Matatizo mengine hayapo kimwili tu, yapo mpaka kiroho, unaweza kuhangaika kutibu kimwili hilo tatizo likashindikana kupona.
Tunajifunza kwa mgonjwa huyu aliyeponywa na Yesu, alipewa tahadhari ya kutorudia kufanya dhambi tena.
Ikiwa angerudia kufanya dhambi, lingempata Jambo baya zaidi ya Mwanzo, hili suala halikupaswa kuchukuliwa kawaida, lilipaswa kuchukuliwa kwa uzito mkubwa kama ilivyo leo hatupaswi kulipuuza.
Tunaweza kukimbilia uponyaji wa ki-Mungu, hili tunalifanya tulio wengi, tunakimbilia miujiza ya uponyaji kuliko kuwa na uhusiano mzuri na Mungu, tukishaponywa tunarudi kwenye maisha yetu ya dhambi.
Mara nyingi hali zetu huwa mbaya zaidi ya Mwanzo, huwa tunaanza kufikiri hatukupata msaada wa Yesu, kumbe baada ya kupata uponyaji tulirudia maisha yetu ya dhambi.
Kama nilivyoanza kusema, si kila ugonjwa ni wa kawaida, magonjwa mengine yanaonekana ni ya kawaida lakini huwezi kuyatibu na dawa za hospital, isipokuwa yatapona kwa Jina la Yesu tu.
Yupo atazunguka kwa waganga wote wa kienyeji, huo ugonjwa hutokaa upone kwa sababu ya matendo yake maovu, na kwenda kwa huko ni kudhidi kujichafua zaidi.
Ukiombewa ukapona, iwe ni mapepo au ugonjwa wowote ule hakikisha hurudii maisha ya dhambi, hiyo ndio itakuwa salama yako.
Sio hivyo tu, tuepuka maisha ya dhambi, kwa sababu ni mlango wa magonjwa/matatizo mengi katika maisha yetu.
Soma neno ukue kiroho
Liwe jua iwe mvua soma biblia na kutafakari
Mungu akubariki sana
Unahitaji maarifa zaidi kuhusu dini.... kesho nitashusha thread kwanini watu hawamuelewi MUNGUMungu ambaye mnadai ni muweza wa vyote, kama kweli hapendi dhambi, angeliweza kuumba Dunia isiyo na dhambi wala uovu.
Dunia yenye dhambi na uovu ipo.
Ni either Mungu huyo hawezi yote na anapenda dhambi. Au Mungu huyo hayupo.
Kuwepo kwa Mungu muweza wa vyote, asiyependa dhambi, kwenye Dunia iliyojaa dhambi kuna tengeneza contradictions.
Kweil mkuuSimu simu simu madhara ya kushika simu katika umri mdogo tena wa balehe kuacha ni kujikeep buzy na usiwe addicted na simu jitahidi usiwe online hata mwezi mzima nunua bando kama kuna ulazima tu
Shusha hiyo thread halafu tuone kati yako na mimi yupi haelewi dini.Unahitaji maarifa zaidi kuhusu dini.... kesho nitashusha thread kwanini watu hawamuelewi MUNGU
Acha ngano na magugu vikue pamoja mkuu. kwenye mavuno ndo tutajua ngano ni ipi na maguguMnavyoila pesa za waumini sio dhambi?
Ahaa les hiyo zinaliwaAcha ngano na magugu vikue pamoja mkuu. kwenye mavuno ndo tutajua ngano ni ipi na magugu
Hatushindani mkuu ila tuna share concept kila mtu atabaki na uamuzi wake wa mwishoShusha hiyo thread halafu tuone kati yako na mimi yupi haelewi dini.
Hapo utakuwa unarusha jiwe gizani mkuuUnahitaji maarifa zaidi kuhusu dini.... kesho nitashusha thread kwanini watu hawamuelewi MUNGU
Ukisikia amelia tu ujue tayari limempata!Hapo utakuwa unarusha jiwe gizani mkuu
Haaaaaaaaah nishabishanaga naye sanaUkisikia amelia tu ujue tayari limempata!
Tunatafuta ukweli wenye logic, facts na logical consistency.Hatushindani mkuu ila tuna share concept kila mtu atabaki na uamuzi wake wa mwisho
Mimi naamini sina uwezo wa kumfanya mtu aamini ninacho mwambia, maana uamuzi ni wake.Haaaaaaaaah nishabishanaga naye sana
sawa mkuu sometime inabidi uwe openminded kama hujui ili ujue, so naamini hizo logic nitapata kitu pia. then nitafanya maamuzi mwenyewe.Tunatafuta ukweli wenye logic, facts na logical consistency.
Tunataka ukweli usio na contradictions yoyote ile.
Sio imani za kusadikika.
We need knowledge not faith.
Sasa hapa kuna mtu amedai sadaka, jifunze uelimike, hata hiyo dhana potofu uliyonayo ulijifunza.Sin is an imaginary disease invented by religions to sell imaginary cure.
It's like creating virus in order to sell Anti-virus.
Ili uweze ku control na kuwapiga watu hela ni lazima uwaambie wao ni wadhaifu na wadhambi, wanahitaji kutakaswa kwa maombi, maungamo na sala ambazo zinasindikizwa kwa SADAKA.
Sadaka ambazo ni Hela za kunafaisha wachungaji, manabii, mapadri na viongozi wa kidini.
HAKUNA DHAMBI.
DHAMBI NI KICHAKA CHA MANABII WANACHOTUMIA KUJIFICHIA KUIBA NA KUPIGA PESA ZA WAUMINI MABOYA.
HASA WAAFRIKA WAFIA DINI MANYUMBU YASIO SIKIA.
Asante! ila kwa kizazi hiki huo moyo wa kujutia dhambi ni wachache sana, maana unakuta et hadi mtu anaomba msamaha halafu ndo anatenda dhambi, et "MUNGU ni samehe yani leo ndio ya mwisho kabisa halafu anaiba tena"Alitenda dhambi, ila alipokumbuka alilia sana kwa kutubu;
Mathayo 26:75 – "Ndipo Petro akalikumbuka lile neno alilosema Yesu, ya kwamba, Kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu. Akatoka nje, akalia kwa uchungu."
Viongozi wa dini hudai Sadaka wakati wakifanya huo utakaso wa dhambi.Sasa hapa kuna mtu amedai sadaka, jifunze uelimike, hata hiyo dhana potofu uliyonayo ulijifunza.