Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 1,237
- 1,744
- Thread starter
- #41
Upo sahihi hushindi dhambi kwa akili zako au kwa nguvu zako, unapaswa kumwamini Yesu, ujae neno, na Roho Mtakatifu, unaweza kushinda dhambi, ila ukitoka nje ya maelekezo ya Mungu na kutamani mambo yasiyompendeza Mungu unarudi kule kule.Tumeambiwa tusirudie dhambini sijui mleta mada amesahau kuwa kuna addiction ambayo huwezi kuitoa kwa utashi wa kibinadamu mpaka nguvu ya roho mtakatifu