Samson Ernest
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 1,237
- 1,744
- Thread starter
-
- #41
Upo sahihi hushindi dhambi kwa akili zako au kwa nguvu zako, unapaswa kumwamini Yesu, ujae neno, na Roho Mtakatifu, unaweza kushinda dhambi, ila ukitoka nje ya maelekezo ya Mungu na kutamani mambo yasiyompendeza Mungu unarudi kule kule.Tumeambiwa tusirudie dhambini sijui mleta mada amesahau kuwa kuna addiction ambayo huwezi kuitoa kwa utashi wa kibinadamu mpaka nguvu ya roho mtakatifu
Tunapaswa kujitenga na dhambiAsante! ila kwa kizazi hiki huo moyo wa kujutia dhambi ni wachache sana, maana unakuta et hadi mtu anaomba msamaha halafu ndo anatenda dhambi, et "MUNGU ni samehe yani leo ndio ya mwisho kabisa halafu anaiba tena"
Wanakuambiaje, unatoa usamehewe dhambi zako au unatoa ili iweje?Viongozi wa dini hudai Sadaka wakati wakifanya huo utakaso wa dhambi.
Na hili liko wazi.
Tuendelee kujifunza utaelewa zaidiMnavyoila pesa za waumini sio dhambi?
Hatuachi kwa nguvu zetu, Yesu akiwa ndani yetu anatuwezeshe kushinda dhambi.Kuna dhambi zingine ukiSHakuwa addicted ni ngumu kuikwepa unajua dhambi lakn huwez jizuia
Yesu atusaidie,,, sema sasa hivi majaribu ni kila sehemu yani kama uzinzi duh ni hatari. kungekuwa na uwezekano tungetoka duniani.Tunapaswa kujitenga na dhambi
mimi ni muumini wa rc huwa natitahidi kumuomba mungu aniepushe na masterbration lkn ninaweza nikakaza hata wik 2 lakn kunasiku uzalendo unanishinda huwa inaniuma sana kunyetuka then kesho yake naenda kanisan lkn kujizuia nashindwaHatuachi kwa nguvu zetu, Yesu akiwa ndani yetu anatuwezeshe kushinda dhambi.
Inahitaji pia maombi ya kufunga maana, ikifika stage ya kufanya hicho kitu na hakuna uchungu wowote kwa nini umefanya, hiyo ni dalidali Roho wa MUNGU ameanza kunyamaza ndani yako.mimi ni muumini wa rc huwa natitahidi kumuomba mungu aniepushe na masterbration lkn ninaweza nikakaza hata wik 2 lakn kunasiku uzalendo unanishinda huwa inaniuma sana kunyetuka then kesho yake naenda kanisan lkn kujizuia nashindwa
jalibu Kufunga pengne nikashindaInahitaji pia maombi ya kufunga maana, ikifika stage ya kufanya hicho kitu na hakuna uchungu wowote kwa nini umefanya, hiyo ni dalidali Roho wa MUNGU ameanza kunyamaza ndani yako.
Sawa mkuu unatakiwa uwe na moyo wa dhati kuacha... sio unafunga mara unaanza kuwaza nifanye ya mwisho kabisa. ila ukitaka kuwa SALAMA epuka vitu vinavyo kushawishi kufanya ngono ikiwezekana kimbia kama yusuph maana ukieendelea kuangalia ohoo! kucontrol mwili ni kazi ngumu mimi imesha nitokea!jalibu Kufunga pengne nikashinda
"Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu." — Yohana 17:15Yesu atusaidie,,, sema sasa hivi majaribu ni kila sehemu yani kama uzinzi duh ni hatari. kungekuwa na uwezekano tungetoka duniani.
Inawezekana kushinda hili tatizo, angalia vyanzo vinavyokuingiza kufanya hivyo, jiepushe na kuangalia picha za ngono, acha kufuatilia maudhui yeyote ya ngono, oa/olewa.mimi ni muumini wa rc huwa natitahidi kumuomba mungu aniepushe na masterbration lkn ninaweza nikakaza hata wik 2 lakn kunasiku uzalendo unanishinda huwa inaniuma sana kunyetuka then kesho yake naenda kanisan lkn kujizuia nashindwa
ubarikiwe mkuu kwa ushauli wakoSawa mkuu unatakiwa uwe na moyo wa dhati kuacha... sio unafunga mara unaanza kuwaza nifanye ya mwisho kabisa. ila ukitaka kuwa SALAMA epuka vitu vinavyo kushawishi kufanya ngono ikiwezekana kimbia kama yusuph maana ukieendelea kuangalia ohoo! kucontrol mwili ni kazi ngumu mimi imesha nitokea!
Amen GOD bless you abudantly!ubarikiwe mkuu kwa ushauli wako
Muongo sana weweHatuachi kwa nguvu zetu, Yesu akiwa ndani yetu anatuwezeshe kushinda dhambi.