Usiruhusu mwanaume kuhamia kwenye nyumba yako uliyojenga kwa jasho lako

Wakibeba mimba ni mchango pia bwashee
 
Nakazia
 
pia mwanaume usilogwe kuwekeza chochote kwenye ardhi ya mwanamke namanisha hata tuta la mboga usisubutu kulima
Ipo siku utalainishwa hadi uwekeze apartment kwenye ardhi ya mkeo, mipango huanza asubuhi then jioni ni kufunga mahesabu
 
Tuliambiwa jana kuwa mali anayochuma Mke aliye katika ndoa ni yake binafsi. Lakini Ile anayochuma Mume ni ya wote yaani ni ya familia nzima. Halafu tena wewe unaendekea kutonesha kidonda ambacho hakijapona. Ama kweli wanaume tumeumbwa kuhangaika hapa duniani, na hao tunaowahangaikia wala hawatuthamini.
 
Basi wafundishe wanao ninaamin umewaachia misingi mizuri,
Ila Hawa vijana wanaoangaika mijini hata Kodi za chumba zinawashinda waache tu!
Hawa vijana wanao hangaika mjini tutaendelea kuwakumbusha kuwa ni dhambi kuhamia kwa mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…