Usisaidie masikini, acha wafe

Usisaidie masikini, acha wafe

USISAIDIE MASIKINI; ACHA WAFE

Na, Robert Heriel

Umasikini ni laana. Huwezi kuwa masikini kama hujalaaniwa. Ukiona wewe ni masikini jua tayari unalaana, ukiona ukoo wenu ni masikini jua koo yenu mnalaana. Ukiona kabila, taifa au bara lenu ni masikini basi fahamu kuwa hiyo ni laana. Huu
0693322300
Kwa sasa Zanzibar
Kwanza eleza masikini ni nani?
Ni mtu wa aina gani anaitwa masikini?
 
Itabidi ukaishi India kwenye jamii ya untouchables, wale wahindi wenzao wanaamini wana laana, ndiyo maana wanawabaka, wanawaua, hawaruhusiwi kuvaa viatu mbele ya wahindi wengine, hawaruhusiwi kuwa na jina sawa na wahindi wengine, hawaruhusiwi hata kupita mtaa wanakoishi wahindi wengine, na hawaruhusiwi kusoma au kufanya kazi nyingine isipokuwa zile kazi ambazo wengine hawawezi kufanya kama kuokota taka na kuzibua vyoo.
Si wahindi wote wenye itikadi hiyo. Hao ni hindu (mabanian). Wa dininzingine India hawana hiyo system.

Utouchables wa India wapo kitabaka (caste) za mabaniani, tabaka zipo nyingi, maarufu ni tabaka mbili, untouchables wapo wanaoitwa "topas" na wapo wanaoitwa Brahmis.

Si lazima wawe maskini ndio wawe untouchables, hao Brahmis hawaguswi na wa caste nyingine yoyote isipokua Brahmis wenzao, kwa kuwa caste yao ni ya kitukufu.

Na topas caste yao ni ya kufanya kazi zile za uchafu. Unaweza kumkuta ni billionaire lakini haguswi.

Ndio maana wahindu (mabaniani) hata kusalimiana kwao ni kwa ishara na sio kwa kushikana mikono.
 
Duh. Kumbe hata ukiwa tajiri kama ni topas basi bado huthaminiki.
 
Masikini wa fikra ni janga.

Mtu anakuja kukuomba umsaidie,kwa roho ya upendo unampa..anakopa hakulipi.
Hela imeisha anakuja tena,,niazime ninunue vifaa ..
Unampa pungufu kidogo,,anakuja kudai tena iliyobaki[emoji119]
Huruma ikizidi huwa upumbavu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app

Hujiulizi mbona Mungu aliyeumba Dunia kaacha Hali iwe hivi.

Ukitaka kujifunza maisha basi tumia kanuni za mbugani, nyingi zipo Real
 
USISAIDIE MASIKINI; ACHA WAFE

Na, Robert Heriel

Umasikini ni laana. Huwezi kuwa masikini kama hujalaaniwa. Ukiona wewe ni masikini jua tayari unalaana, ukiona ukoo
Kwa sasa Zanzibar
Pole sana. Wewe nawe utakuwa na matatizo. Unapomsaidia mtu usitegemee kukulipa maana hapo ndipo shida yako inaanzia. Ukimsaidia mtu kwa lengo la kuja kupata chochote kutoka kwake, huo siyo msaada bali ni ukopeshaji usiyo na riba. Tenda wema nenda zako, usingoje shukrani. Mwache naye akasaidie wengine, siyo lazima arudi kukusaidia wewe.

POLE SANA KWA KUKOPESHA BILA KIRUDISHIWA FEDHA ZAKO😇
 
Pole sana. Wewe nawe utakuwa na matatizo. Unapomsaidia mtu usitegemee kukulipa maana hapo ndipo shida yako inaanzia. Ukimsaidia mtu kwa lengo la kuja kupata chochote kutoka kwake, huo siyo msaada bali ni ukopeshaji usiyo na riba. Tenda wema nenda zako, usingoje shukrani. Mwache naye akasaidie wengine, siyo lazima arudi kukusaidia wewe.

POLE SANA KWA KUKOPESHA BILA KIRUDISHIWA FEDHA ZAKO[emoji56]
Wewe ukikopesha mtu,hauna haja ya kurudishiwa?
 
Kuna kauli ya jamaa yangu mmoja aliefanikiwa, akikuta unasimamia watu kazini yeye husema; " Tony usipende kuonea watu huruma, hawa watu ni wengi mno! Punguza watu!, Usionee watu huruma! Utakufa maskini tony! Acha watu waumie!" Huwa inanifikirisha sana.
 
Yuko sw kabisa uyo jamaa. Mm pia kuna bznes man mmoja hapo LUSAKA zambia najua nae ni mtu alie fanikiwa mnooo. Ila hana huruma na mackini hata nukta.
 
Hahaha! Nchi nyingi zipo hivyo Mkuu. Huku Afrika ndio masikini wanathaminiwa. Yaani shetani anathaminiwa ndio maana umasikini hauishi.

Jamii inayonyanyasa masikini inamnyanyanyasa shetani hivyo umasikini unakimbia automatic kwa sababu watu huhangaika kutafuta pesa, lakini vipi Afrika?

Ati masikini wanathaminiwa, hivi mnaweza kuwathamini masikini kweli?
ɴᴀᴋᴇᴅ ᴛʀᴜᴛʜ[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Taikoni wa fasihi unashindwa kutofautisha kati ya Masikini na Mpumbavu,

Tittle ilibidi iwe

"Usiwasaidie wapumbavu, acha wafe"

Maana kunawatu wamezaliwa kwenye familia masikini na nimasikini ila sio wapumbavu, ila kuna watu ni matajiri ila ni wapumbafu.

Kwaio kwenye masikini weka mpumbavu kwangu hitakua poa sana
 
😊😊😊😊
 
Back
Top Bottom