Centia2
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 1,018
- 1,640
Kwanza eleza masikini ni nani?USISAIDIE MASIKINI; ACHA WAFE
Na, Robert Heriel
Umasikini ni laana. Huwezi kuwa masikini kama hujalaaniwa. Ukiona wewe ni masikini jua tayari unalaana, ukiona ukoo wenu ni masikini jua koo yenu mnalaana. Ukiona kabila, taifa au bara lenu ni masikini basi fahamu kuwa hiyo ni laana. Huu
0693322300
Kwa sasa Zanzibar
Ni mtu wa aina gani anaitwa masikini?