Usiseme huna kazi PATA kazi hii hapa.

Usiseme huna kazi PATA kazi hii hapa.

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Hacha KULALAMIKA njoo ufanye kazi na hao jamaaa!
 

Attachments

  • Screenshot_20260808-111238.png
    Screenshot_20260808-111238.png
    341.5 KB · Views: 18
Wazee wa kaz kaz dadeki. Kazi chafu, roho mbaya, huruma sio malezi bablasi.
 
Hacha KULALAMIKA njoo ufanye kazi na hao jamaaa!
Shida iko hivii,jambo sii kazi tuu,ila huwa wabongo na hasa graduates wana jambo kazi ya ndoto yangu!Huku hawakumbuki ubunifu wa ajira ni ziro na upungufu wa kazi enzi za AI ni hadi 70%
 
Matangazo ya hivi ya kazi,nishahara huwa ni 300 wakizid sana 400k tena hiyo nu managerial level...
Akili huna unataka mshahara mkubwa kwa kipi ulivhozalisha unawaza mshahara uza kalio kwa mzee bharesa
 
Akili huna unataka mshahara mkubwa kwa kipi ulivhozalisha unawaza mshahara uza kalio kwa mzee bharesa
So kwanini nikauze kalio kwa Ex boyfriend wako ambaye alikuwa anakuingiza mjalubeng na kutemea mate kitobo chako ambacho hakifi leo? Kwan mmeshaachana?
 
Back
Top Bottom