Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

Msaada maswali ya interview Huwa ni yapi Kwa oral na written ni short answers au essay?
 
Maswali ya interview Huwa ni yapi
 
Ka
kufungua maabara na phamacy inahitaji hue na elimu ngaz gani? Na iyi clinical certificate unawez tumia kwa kipi kama uruhusiwi kufungulia kitu
 
Tumeitwa interview may 25 dodoma utumishi wa uma Mimi ni co
Maswali ya kawaida ya medicine... Written ni short answer yanakua ma5 unatakiwa kujib ndan ya dakika 40 na oral pia ni short answer moja self introduction na manne ya medicine hapa kila swali lina dakika 5 ambazo kiuhalisia ni nyingi saka kwa swali 1


fika mapema zingatia muda na document original kabisa usiende na copy ...... Pia nenda kitambulisho chochote au barua ya utambulisho...ukikosa k1 kati ya hivo unarudishwa hawana huruma hata kidogo na kama hauna hvo usichome nauli hautaona hata chumba cha intaview kinafanana aje
 
Clinical Officers wanatakiwa kuhudumu ngazi ya Zahanati. Je, Tanzania tuna zahanati ngapi?
 
Clinical Officers wanatakiwa kuhudumu ngazi ya Zahanati. Je, Tanzania tuna zahanati ngapi?
Nyingi..

ukiisoma thread yangu kama m2 unaehc nakuharibia biashara yako huwez kuona kua thread yangu imezungumza pande zote mbili utamu na uzur wa hyo kozi na ubaya (kwa mtazamo wangu) na utajihisi kuteseka na la msingi zaid hii thread haiwez kufanya watu wasisome clinical medicine.

Ni kama waalimu tu shule zipo nyingi za kata na wahitimu ni wengi pia na ajira zinasemekana hakuna lkn watu hawata acha kusoma ualimu.

Uo ulkua mtazamo wang binafsi ..ukizingatia mm ni mnufaika wa kozi hii (clinical) nilioisoma sababu imenipa ajira serikalini

Kila m2 asome at his/her own risk.

MANENO YANGU SIO KATIBA
 
Si amini katika kuharibiana biashara. Elimu haijawahi kuwa biashara na sisi hatukuanzisha chuo ili tufanye biashara. Msukumo wa kuanzisha Chuo ulikuwa ni kutaka kuonesha kuwa vyuo vya kati vya Private vinaweza kuwa bora zaidi kama ilivyo katika shule za msingi na sekondari.

Imani ya Nyaishozi College ni kuwa Elimu bora inatakiwa itolewe na vyuo binafsi si vya serikali. Hivyo maoni yako ni muhimu sana.

Kitu ambacho kwa kawaida chuo chetu huwa tunasisitiza hasa kwa wanataka kusoma hii kozi, ni kuwa makini na ufaulu hasa kama tu anataka kuchukua MD. Anatakiwa apate First Class.

Karibu Nyaishozi College kilichopo Mbweni Dar es Salaam ujionee kinavyoendeshwa.
 
N
Nasikia kipindi fulani KIU ukipeleka kichwa unapata percent au walikuwa waongo?
 
Sig
Sifa za kusoma hapo zikoje?
 
Asante
 
Sehemu watu wakishakuwa wengi kimbia escape huo mkumbo.

Ilikuwa kama kwenye ualimu vyuo vya walimu vilikuwa kibao kama utitiri hasa private vingi vikajifia
 
Vyuo gani hivyo hawachukui wenye F ya math
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…