Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

Au kama addo bado inatolewa tunaomba utujuze chuo ambacho kinatoa kwa sasa maana hata mm nataka kusoma addo. Na huwa nna regret kwann sikusoma.

Na sababu kubwa sio addo kukosa ubora ila ni wingi wa pharmacy technician ana dispenser (level 4) wanaohitim kwa sasa hakuna upunguf.

Na kwenye upnde wa pharmacy hata mtu anaishia level 4 & 5 anaweza kudispense dawa ndo mana addo ikafutwa
 
Mkuu huu uzi umekaa kukatisha tamaa sanaa
Hapana! Uzi huu unatoa mwanga kwa kijana na wazazi wasioijua hii kozi, hali ya soko lake ktk ajira, kuendelea na masomo-mfano MD n.k.
Na maelezo kama haya ni muhimu kwa walimu huko sekondari kuwapa vijana. Mbaya ni kumpa mtu matumaini yasiyoendana na uhalisia. Mfano- Guide book ya Muhimbili- MD inahitaji minimum ya GPA 3.0 (CO). Uhalisia ni kwamba kwa zaidi ya miaka 10 hawajawahi kuchukua CO mwenye chini ya GPA 4.5. Huu ndio uhalisia mwanafunzi wa CO anabidi awe nao kichwani kwake. Hali kadhalika kwa mhitimu wa PCB- kuingia Muhimbili lazima uwe na div 1- Guide book ni chini sana ya hiyo.
Hii haimaanishi watu wasisome kozi hii, bali wasome kwa uhalisia uliopo sasa hivi na sio kuja na ndoto za alinacha. Vijana someni!
 
Kwa ndugu zetu walimu hali kwao ndo mbaya kuliko
 
Au kama addo bado inatolewa tunaomba utujuze chuo ambacho kinatoa kwa sasa maana hata mm nataka kusoma addo. Na huwa nna regret kwann sikusoma.

Na sababu kubwa sio addo kukosa ubora ila ni wingi wa pharmacy technician ana dispenser (level 4) wanaohitim kwa sasa hakuna upunguf.

Na kwenye upnde wa pharmacy hata mtu anaishia level 4 & 5 anaweza kudispense dawa ndo mana addo ikafutwa
 
Hiyo computer science na Coding napo Artificial intelligence (AI) imekuja hamna dili ni ku command tu website inajitengeneza
 
Guidebook 2023/24 GPA ni 3.0 na kuendelea

Chuo nilichosoma mtu wa mwisho alkua na gpa ya 3.6 kwa tulioanza nao level 4. ila wale waliokuja ku upgrade ndo kuna mmoja alipata 3.0 ambae huyu kuna module arirudia na alkua peke ake aliefeli na mwingine 3.5 na walio pata gpa chini ya 4.0 walkua sita tu kati ya wahitim 62 (but this was 2019)
Imagine huyo ndiye mwalimu, sijui anafundisha nini huko chuoni kwao, anaona sifa kusema wengi wanaishia 3.0, kuna vyuo hawa wasimamizi ni makatili kweli wanaminya hizo GPA kishenzi
 
Kafaulu diploma
Kama amesoma diploma kwa makerere lazima awe na cheti cha form four na form six,,,kama hakwenda ga form six makerere hawatamchagua,, lakini kwa mwaka huu hawez omba makerere pia maana application zishaisha
 
Unavyosema bro kama vile hao wanafunzi 4100 wanahitimu kweli.
Katika wanafunzi wanaodahiliwa nusu ya wanafunzi hufeli kuendelea kimasomo kwasababu kuu mbili eidha ada ama kufeli.
Asikudanganye mtu kuwa eti kisa umeenda jiandikisha CMT basi shwaa miaka mitatu umemaliza.
Na hiyo kujiunga bachelor ya MD lazima ufikie GPA ya 3.5.
Usidhani ni rahisi mwaka wa tatu ufikishe GPA ya 3.5,wengi huishia 2.5-3.0.
Wanaofikisha 3.5 kwenda juu huwa wachache sana.
Ndio maana hata serikali sababu moja wapo iliofanya kozi ya CMT kutokuwepo kwenye orodha ya kozi za kupewa mikopo ya vyuo vya kati kwasababu wanafunzi wa CMT wanaongoza kufeli kuliko kozi yeyote ile.
Mkuu hiyo ilikua zamani,siku hizi kufaulu hiyo kozi sio ngumu hasa private ndo maana tunakutana na watoto wa private asilimia kubwa wana GPA kali ila hawana content kichwani. So alichoongea mdau hapo ni kitu ambacho kipo kwa sasa.
 
Bro guide book ya zamani hiyo.
Hivi hujui kama mambo yamebadilika hadi mtaala umebadilika CMT!?
Module zimebadilika hadi GPA nazo zimebadilika,ukitaka kwenda kusoma MD kutokea CMT anzia 3.5 mzee,huwezi tulia paleee.
Nipo katika hiyo field bro nafundisha ndio maana nakwambia.
Hivyo vyuo wa mwisho CMT anapata 3.8 huwenda vipo ila sina uhakika.
Weeeeh yani wa mwisho apate 3.8 CMT!?
Serikali haikuangalia hilo tu nilienda bodi ya mikopo pale Sokoni/TAZARA kuna kiongozi nilikutana nae alinijibu short and clear CMT failure wengi serikali haiwezi poteza pesa huko.
Mkuu acha ubishi ,nakupa mfano mwaka 2021 chuo cha Lugalo wa mwisho alikua na 4.3 GPA unasemaje hapo?. Siku hizi Clinical medicine ina mazingira wezeshi sana watu kutoboa kuna mambo mengi mwanafunzi ashindwe mwenyewe ni kama unavyona form 4 ya sasa ilivyo rahisi kufaulu. Tunakubali wanaofeli wapo ila kwa rate ndogo sana.
 
Unavyosema bro kama vile hao wanafunzi 4100 wanahitimu kweli.
Katika wanafunzi wanaodahiliwa nusu ya wanafunzi hufeli kuendelea kimasomo kwasababu kuu mbili eidha ada ama kufeli.
Asikudanganye mtu kuwa eti kisa umeenda jiandikisha CMT basi shwaa miaka mitatu umemaliza.
Na hiyo kujiunga bachelor ya MD lazima ufikie GPA ya 3.5.
Usidhani ni rahisi mwaka wa tatu ufikishe GPA ya 3.5,wengi huishia 2.5-3.0.
Wanaofikisha 3.5 kwenda juu huwa wachache sana.
Ndio maana hata serikali sababu moja wapo iliofanya kozi ya CMT kutokuwepo kwenye orodha ya kozi za kupewa mikopo ya vyuo vya kati kwasababu wanafunzi wa CMT wanaongoza kufeli kuliko kozi yeyote ile.
Mtaala pia wa sasa ni rahisi ,masomo korofi kwa semista ya kwanza yametolewa(Health policy & Family medicine) na pia semista ya pili wamebakishiwa manne tu badala ya matano Forensic somi rahisi limepelekwa semista ya kwanza. Kumbuka semista ya kwanza watu ndo wanatengeneza GPA ya semista ya pili kwasababu ni semista ya chuo hivyo fea kubwa hasa vyuo vya private.
 
Guidebook 2023/24 GPA ni 3.0 na kuendelea

Chuo nilichosoma mtu wa mwisho alkua na gpa ya 3.6 kwa tulioanza nao level 4. ila wale waliokuja ku upgrade ndo kuna mmoja alipata 3.0 ambae huyu kuna module arirudia na alkua peke ake aliefeli na mwingine 3.5 na walio pata gpa chini ya 4.0 walkua sita tu kati ya wahitim 62 (but this was 2019)
Nimempa mfano wa Lugalo mwaka 2019 wa mwisho alikua na 4.3 ajue tu siku hizi watu wanafaulu mazingira wezeshi mengi sana.
 
Imagine huyo ndiye mwalimu, sijui anafundisha nini huko chuoni kwao, anaona sifa kusema wengi wanaishia 3.0 kuna vyuo, hawa wasimamizi ni makatili kweli wanaminya hizo GPA kishenzi
Kiufupi kuna baadhi ya walimu wanaona kufelisha bu sifa na kuna wanafunzi nao hawasomi wanataka kitonga.
 
Au kama addo bado inatolewa tunaomba utujuze chuo ambacho kinatoa kwa sasa maana hata mm nataka kusoma addo. Na huwa nna regret kwann sikusoma.

Na sababu kubwa sio addo kukosa ubora ila ni wingi wa pharmacy technician ana dispenser (level 4) wanaohitim kwa sasa hakuna upunguf.

Na kwenye upnde wa pharmacy hata mtu anaishia level 4 & 5 anaweza kudispense dawa ndo mana addo ikafutwa
Mkuu ukipata nishtue tuungane nakihitaji nisajilie duka.
 
Mkuu quality ya D ya 2015 kushuka chini......ni tofauti na quality ya D hzi za miaka hii....miaka hii ya one za saba kama njugu ukipata D sawa na hamna kitu
Upo sahihi. Sasahivi unajua kabisa mtoto fulani ni kilaza ila utakuta ana division one eti.

Siasa imeharibu sana elimu aise. Watoto hawafaulu kwa uwezo binafsi bali hufaulishwa ili watu wachache wapate political mileage.

Zamani mtu aliyepata D ni mwamba hasa huwezi kufananisha D ya mwaka 2007 na D ya 2020.

D ya 2010 kushuka chini ni sawa na A ama B ya kizazi hiki kinachobebwa na siasa.
 
Back
Top Bottom