Usisome kozi ya clinical medicine (clinical officer) kabla ya kusoma thread hii

Unavyosema bro kama vile hao wanafunzi 4100 wanahitimu kweli.
Katika wanafunzi wanaodahiliwa nusu ya wanafunzi hufeli kuendelea kimasomo kwasababu kuu mbili eidha ada ama kufeli.
Asikudanganye mtu kuwa eti kisa umeenda jiandikisha CMT basi shwaa miaka mitatu umemaliza.
Na hiyo kujiunga bachelor ya MD lazima ufikie GPA ya 3.5.
Usidhani ni rahisi mwaka wa tatu ufikishe GPA ya 3.5,wengi huishia 2.5-3.0.
Wanaofikisha 3.5 kwenda juu huwa wachache sana.
Ndio maana hata serikali sababu moja wapo iliofanya kozi ya CMT kutokuwepo kwenye orodha ya kozi za kupewa mikopo ya vyuo vya kati kwasababu wanafunzi wa CMT wanaongoza kufeli kuliko kozi yeyote ile.
Sio kweli, kwanza guide book inataka 3.0 tu, pili ufaulu unategemea na chuo usikariri vipo vyuo wa mwisho utakuta ana 3.8, hivyo kwenye udahili kuna ushindani mkubwa.
Pili hiyo siyo sababu ya wao kukosa mikopo, serikali wamechukua tu zile kozi zenye watu wachache tu, basi.
 
Bro guide book ya zamani hiyo.
Hivi hujui kama mambo yamebadilika hadi mtaala umebadilika CMT!?
Module zimebadilika hadi GPA nazo zimebadilika,ukitaka kwenda kusoma MD kutokea CMT anzia 3.5 mzee,huwezi tulia paleee.
Nipo katika hiyo field bro nafundisha ndio maana nakwambia.
Hivyo vyuo wa mwisho CMT anapata 3.8 huwenda vipo ila sina uhakika.
Weeeeh yani wa mwisho apate 3.8 CMT!?
Serikali haikuangalia hilo tu nilienda bodi ya mikopo pale Sokoni/TAZARA kuna kiongozi nilikutana nae alinijibu short and clear CMT failure wengi serikali haiwezi poteza pesa huko.
 
Duh kumbr MD lazima uwe na kuanzia na gpa ya 3.5 ?
Unaweza kunisaidia kupsta muongozo ambao una mabadiliko hayo mkuu kama hautojali.

Na je mtu wa C.O anayeenda degree ya md anaweza kupata mkopo wa serikali kusomea MD ?.
 
Mzee unabisha kwa confidence sana, sasa kama mwalimu ndio wewe ni mtihani huu.
Mimi nimeleta ushahidi wa guide book ya 23/24.

Labda chuo chenu tu ndio mnakaza, lakini vyuo vingine ni GPA za tano kibao tu, hapo ushindani ndio unaanzia, lkn still guidebook inaruhusu bora ukasome nje maana vyuo vya ada kama ya bugando na kairuki nje unapata.
 
Attachments

  • Screenshot_20240429-133442.png
    Screenshot_20240429-133442.png
    680.9 KB · Views: 56
  • Screenshot_20240429-133401.png
    Screenshot_20240429-133401.png
    497.2 KB · Views: 52
  • Screenshot_20240429-125758.png
    Screenshot_20240429-125758.png
    379.9 KB · Views: 37
  • Screenshot_20240429-125829.png
    Screenshot_20240429-125829.png
    741.4 KB · Views: 42
  • Screenshot_20240429-125856.png
    Screenshot_20240429-125856.png
    675.4 KB · Views: 51
E
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.

Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii kozi utaweza kutibu baadhi ya magonjwa na kufanya upasuaji mdogo mdogo, kozi hii ni ya miaka mi 3. Kozi hii kwasasa inatolewa na vyuo zaidi ya 82 nchini.

Malengo makubwa mawili huwa yanafanya watu kusoma clinical medicine aidha kupata ajira wakiamini kua afya ina ajira nyingi na pili kujiendeleza kusoma udaktari wa binadamu (kwa ukubwa) au kozi zingine.

Hivi vyuo 82 vimekua viki dahili wanafunzi zaid ya 50 vingine 100 mpk 150 kwa mwaka. Sasa tuchukulie katika kila chuo kati ya hvyo 82 wahitimu clinical officers 50 (wastani) ina maana ni zaidi ya clinical officers 4100 wanazalishwa kila mwaka.
Kwa malengo ya kupata ajira za serikalini, serikali haijawahi kuajiri zaid ya clinical officer 2500 kwa mwaka tangu 2020 na kila mwaka idadi ya kuwaajir clinical officer inazid kushuka.

Kwa lengo la kusoma udaktari kwa ngazi ya digrii .. kwanza watambue vyuo vinavyoa digrii ya udaktar hapa nchini vipo 11. Na kila chuo kina idadi maalumu ya watahiniwa kutoka clinical medicine watakao jiunga. Vyuo hivo vya serikali ni vi nne 1.Muhas 2.Udom 3.Udsm- mchas mbeya 4. Suza zanzibar hivi vya serikali ada ni nafuu 1.8 million mpk 3.1 million (kwa suza). Nafac kwenye hivi vyuo zina badirika kutokana na mwaka husika (TCU guide book huonesha number of sits) lakin hazi zidi nafasi 70 kwa vyuo vyote kwa ujumla. Kwa hiyo ww clinical officer ulihitim jua kua unagombania nafasi zisizo zidi 70 kupata nafasi ya kusoma udaktari kwenye chuo cha serikali ... Hapa lazima ume na GPA kuanzia 4.8 mpaka 5.0 na matokeo ya kidato cha nne yawe mazuri kupata nafasi.

Vyuo vya private na ada zake kwenye mabano 1.Sfuchas ifakara (4.5 million) 2.St joseph boko (6.1 million) 3. Mwanza university (6.7 million) 4.Bugando (5.4 million) 5. Kcmuco (5.4 million) 6.kampala (6.7 million) 7.habert kairuki(6.7 million) . Huku kwa ujumla nafasi hufika mpka 200 kutegemeana na mwaka (TCU guide book number of sits) kwaio kwa upande wa private jua unagombania nafasi 200 au pungufu na clinical officer wenzio kupata nafac ya kusoma udaktari lkn Ada huku ndo kikwazo kingine kwa watoto wa maskini. KWA UJUMLA KWA SASA NAFASI ZA CLINICAL OFFICER KUSOMA MD HAPA NCHINI HAZIFIKI 300.

Habar njema ni kua kuna kozi zingine kama 15 hutegemeana na guidebook ya mwaka husika 1. Clinical nutrition Udom 2. Health information sciences Udom 3. Bsc general nutrition open university 4. Bsc human nutrition SUA 5. Law moshi

Habar njema ni kua kuna kozi zingine kama 15 hutegemeana na guidebook ya mwaka husika 1. Clinical nutrition Udom 2. Health information sciences Udom 3. Bsc general nutrition open university 4. Bsc human nutrition SUA 5. Law moshi ushirika 6. Microbiology udsm 7. Biotechnology udsm 8.sociology 9.health management systems mzumbe 10. Family and consumer science SUA 11.physiotherapy 12.public health Zanzibar 13. Counseling and psychology 14. Dental surgery suza na n.k

Swala la kujiajiri .. cheti cha clinical officer hakiwezi kutumika kufungua chochote iwe zahanati, duka la dawa au maabara. Zahanati ni kuanzia ngazi ya AMO ndio unaweza fungua.

Fursa nyingine iliopo ni kuajiriwa private ambapo kwa sasa wamekua wanalipa watakavyo unakata CO analipwa 150k au 200k kama anafanya kazi za ndani. Inaudhi sana.

Sku hzi kwenye kila watu 100 hukosi clinical officer mmoja wamekua wengi sana. Wengine wamekua madaktari TIKTOK sasa ni mwendo wa live tu

TAFAK
ushirika 6. Microbiology udsm 7. Biotechnology udsm 8.sociology 9.health management systems mzumbe 10. Family and consumer science SUA 11.physiotherapy 12.public health Zanzibar 13. Counseling and psychology 14. Dental surgery suza na n.k

Swala la kujiajiri .. cheti cha clinical officer hakiwezi kutumika kufungua chochote iwe zahanati, duka la dawa au maabara. Zahanati ni kuanzia ngazi ya AMO ndio unaweza fungua.

Fursa nyingine iliopo ni kuajiriwa private ambapo kwa sasa wamekua wanalipa watakavyo unakata CO analipwa 150k au 200k kama anafanya kazi za ndani. Inaudhi sana.

Sku hzi kwenye kila watu 100 hukosi clinical officer mmoja wamekua wengi sana. Wengine wamekua madaktari TIKTOK sasa ni mwendo wa live tu

TAFAKARI CHUKUA HATUA
mtoa mada ebu jarib kuelezea hii link hii ishu unaionaje
Kwanini Serikali haiajiri Madaktari (MD) wakati kuna upungufu mkubwa, inaajiri CO (Clinical Officers) na manesi?
 
Duh kumbr MD lazima uwe na kuanzia na gpa ya 3.5 ?
Unaweza kunisaidia kupsta muongozo ambao una mabadiliko hayo mkuu kama hautojali.

Na je mtu wa C.O anayeenda degree ya md anaweza kupata mkopo wa serikali kusomea MD ?.
Jamani ingia Website ya TCU utapata guidebook ya mwaka 2023/24 for equivalent ... Gpa ya kusoma MD ni 3.0 na mkopo unapata ila kwa vigezo ulivyonavyo wengine wanapata asilimia 100% wengine wanapata boom peke ake mm nnao ushahid wapo niliosoma nao CMT wapo MD 3rd year na wengi wana mkopo
 
Bro guide book ya zamani hiyo.
Hivi hujui kama mambo yamebadilika hadi mtaala umebadilika CMT!?
Module zimebadilika hadi GPA nazo zimebadilika,ukitaka kwenda kusoma MD kutokea CMT anzia 3.5 mzee,huwezi tulia paleee.
Nipo katika hiyo field bro nafundisha ndio maana nakwambia.
Hivyo vyuo wa mwisho CMT anapata 3.8 huwenda vipo ila sina uhakika.
Weeeeh yani wa mwisho apate 3.8 CMT!?
Serikali haikuangalia hilo tu nilienda bodi ya mikopo pale Sokoni/TAZARA kuna kiongozi nilikutana nae alinijibu short and clear CMT failure wengi serikali haiwezi poteza pesa huko.
Guidebook 2023/24 GPA ni 3.0 na kuendelea

Chuo nilichosoma mtu wa mwisho alkua na gpa ya 3.6 kwa tulioanza nao level 4. ila wale waliokuja ku upgrade ndo kuna mmoja alipata 3.0 ambae huyu kuna module arirudia na alkua peke ake aliefeli na mwingine 3.5 na walio pata gpa chini ya 4.0 walkua sita tu kati ya wahitim 62 (but this was 2019)
 
Watu wasome tu. Kila mtu ana riziki yake. Mimi kozi niliyosoma tulikuwa kama 40 tu darasani ila baada ya kuhitimu watu kama 10 kwa sasa wako TRA. Na wengine wameajiriwa kwingine... mimi na wengine wachache sana tuliamua kujiajiri. Na ni miaka hii ya karibuni. Riziki kama ipo hakuna wa kuzuia.
Ndio watu wasome na hawawez acha kusoma .. nasema tena ni kama walimu wa arts ambao wa2 wanasema haina ajira lkn watu wanasoma hvohvo ...

Watu wasome kupata maarifa ila wapunguze expectations kubwa za ajira ... Ajira ni majaaliwah
 
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.

Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii kozi utaweza kutibu baadhi ya magonjwa na kufanya upasuaji mdogo mdogo, kozi hii ni ya miaka mi 3. Kozi hii kwasasa inatolewa na vyuo zaidi ya 82 nchini.

Malengo makubwa mawili huwa yanafanya watu kusoma clinical medicine aidha kupata ajira wakiamini kua afya ina ajira nyingi na pili kujiendeleza kusoma udaktari wa binadamu (kwa ukubwa) au kozi zingine.

Hivi vyuo 82 vimekua viki dahili wanafunzi zaid ya 50 vingine 100 mpk 150 kwa mwaka. Sasa tuchukulie katika kila chuo kati ya hvyo 82 wahitimu clinical officers 50 (wastani) ina maana ni zaidi ya clinical officers 4100 wanazalishwa kila mwaka.
Kwa malengo ya kupata ajira za serikalini, serikali haijawahi kuajiri zaid ya clinical officer 2500 kwa mwaka tangu 2020 na kila mwaka idadi ya kuwaajir clinical officer inazid kushuka.

Kwa lengo la kusoma udaktari kwa ngazi ya digrii .. kwanza watambue vyuo vinavyoa digrii ya udaktar hapa nchini vipo 11. Na kila chuo kina idadi maalumu ya watahiniwa kutoka clinical medicine watakao jiunga. Vyuo hivo vya serikali ni vi nne 1.Muhas 2.Udom 3.Udsm- mchas mbeya 4. Suza zanzibar hivi vya serikali ada ni nafuu 1.8 million mpk 3.1 million (kwa suza). Nafac kwenye hivi vyuo zina badirika kutokana na mwaka husika (TCU guide book huonesha number of sits) lakin hazi zidi nafasi 70 kwa vyuo vyote kwa ujumla. Kwa hiyo ww clinical officer ulihitim jua kua unagombania nafasi zisizo zidi 70 kupata nafasi ya kusoma udaktari kwenye chuo cha serikali ... Hapa lazima ume na GPA kuanzia 4.8 mpaka 5.0 na matokeo ya kidato cha nne yawe mazuri kupata nafasi.

Vyuo vya private na ada zake kwenye mabano 1.Sfuchas ifakara (4.5 million) 2.St joseph boko (6.1 million) 3. Mwanza university (6.7 million) 4.Bugando (5.4 million) 5. Kcmuco (5.4 million) 6.kampala (6.7 million) 7.habert kairuki(6.7 million) . Huku kwa ujumla nafasi hufika mpka 200 kutegemeana na mwaka (TCU guide book number of sits) kwaio kwa upande wa private jua unagombania nafasi 200 au pungufu na clinical officer wenzio kupata nafac ya kusoma udaktari lkn Ada huku ndo kikwazo kingine kwa watoto wa maskini. KWA UJUMLA KWA SASA NAFASI ZA CLINICAL OFFICER KUSOMA MD HAPA NCHINI HAZIFIKI 300.

Habar njema ni kua kuna kozi zingine kama 15 hutegemeana na guidebook ya mwaka husika 1. Clinical nutrition Udom 2. Health information sciences Udom 3. Bsc general nutrition open university 4. Bsc human nutrition SUA 5. Law moshi ushirika 6. Microbiology udsm 7. Biotechnology udsm 8.sociology 9.health management systems mzumbe 10. Family and consumer science SUA 11.physiotherapy 12.public health Zanzibar 13. Counseling and psychology 14. Dental surgery suza na n.k

Swala la kujiajiri .. cheti cha clinical officer hakiwezi kutumika kufungua chochote iwe zahanati, duka la dawa au maabara. Zahanati ni kuanzia ngazi ya AMO ndio unaweza fungua.

Fursa nyingine iliopo ni kuajiriwa private ambapo kwa sasa wamekua wanalipa watakavyo unakata CO analipwa 150k au 200k kama anafanya kazi za ndani. Inaudhi sana.

Sku hzi kwenye kila watu 100 hukosi clinical officer mmoja wamekua wengi sana. Wengine wamekua madaktari TIKTOK sasa ni mwendo wa live tu

TAFAKARI CHUKUA HATUA
Kuna vitu vingi ume exagerate sana. Pekundu si sahihi
 
Wewe ukiwa na GPA ya 5.0 na mwenzako ana GPA ya 5.0 na kuna nafasi moja wanarudi nyuma kaungalia nani alifauru vizuri kidato cha nne.

Ila ww ukiwa na GPA ya 5.0 na una four ya 26 kidato cha nne .. na mwenzio ana GPA YA 4.6 na ana one ya 7 kidato cha nne .. ww mwenye GPA ya 5.0 utapata nafasi.

Niliiweka hyo kipengele kwa sababu saiz watu wanafanana sana GPA lkn pia hata guidebook inasema:

"Diploma in clinical medicine with GPA of 3.0 and above plus candidate must have a pass in the followings subjects mathematics physics chemistry biology and english"....... (kuna vyuo hata uwe na gpa ya 5 na ulkua na F ya mathematics hawakuchukui)

Au

"Diploma in clinical medicine with GPA of 3.0 and above plus candidate must have a pass in five non religious subjects"

kwahyo kidato cha nne "Diploma in clinical medicine with GPA of 3.0 and above plus candidate must have a pass in the followings subjects mathematics physics chemistry biology and english" good role kuchaguliwa
 
Neno ni kufaulu! Usiwe unaongea vitu hujui, katika maisha yako ongea kitu unajua. JF kuna watu wana uzoefu wa kusimamia si kuwa mwanafunzi
 
Alafa usijibu kwa mihemko njoo na facts kusimamia unaweza usimamie na usijue mambo ...kuna mwenzio na ni msimamizi alkua anasema kuingia MD ni GPA ya 3.5 wakati guidebook inasema 3.0 .. kooh unaweza ukasimamia na ukawa outdated

Sizani kama unaelewa mzee nnachokimaanisaha .. swala la kidato cha nne kuhusishwa linarudi kwenye competition ya kuingia chuo kikuu..

nkuulzie swali ww mzoefu wa kusimamia

Tuseme ww ni admission officer wa chuo x kinachotoa MD .. kuna nafasi 5 za MD kwa ajir ya CO.

Walioomba ni 10 na wote wana GPA za 5 utatumia kigezi gani kuchagua watano kati ya 10 ikiwa wote GPA ni 5 watakao jiunga na chuo chako?
 
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.

Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii kozi utaweza kutibu baadhi ya magonjwa na kufanya upasuaji mdogo mdogo, kozi hii ni ya miaka mi 3. Kozi hii kwasasa inatolewa na vyuo zaidi ya 82 nchini.

Malengo makubwa mawili huwa yanafanya watu kusoma clinical medicine aidha kupata ajira wakiamini kua afya ina ajira nyingi na pili kujiendeleza kusoma udaktari wa binadamu (kwa ukubwa) au kozi zingine.

Hivi vyuo 82 vimekua viki dahili wanafunzi zaid ya 50 vingine 100 mpk 150 kwa mwaka. Sasa tuchukulie katika kila chuo kati ya hvyo 82 wahitimu clinical officers 50 (wastani) ina maana ni zaidi ya clinical officers 4100 wanazalishwa kila mwaka.
Kwa malengo ya kupata ajira za serikalini, serikali haijawahi kuajiri zaid ya clinical officer 2500 kwa mwaka tangu 2020 na kila mwaka idadi ya kuwaajir clinical officer inazid kushuka.

Kwa lengo la kusoma udaktari kwa ngazi ya digrii .. kwanza watambue vyuo vinavyoa digrii ya udaktar hapa nchini vipo 11. Na kila chuo kina idadi maalumu ya watahiniwa kutoka clinical medicine watakao jiunga. Vyuo hivo vya serikali ni vi nne 1.Muhas 2.Udom 3.Udsm- mchas mbeya 4. Suza zanzibar hivi vya serikali ada ni nafuu 1.8 million mpk 3.1 million (kwa suza). Nafac kwenye hivi vyuo zina badirika kutokana na mwaka husika (TCU guide book huonesha number of sits) lakin hazi zidi nafasi 70 kwa vyuo vyote kwa ujumla. Kwa hiyo ww clinical officer ulihitim jua kua unagombania nafasi zisizo zidi 70 kupata nafasi ya kusoma udaktari kwenye chuo cha serikali ... Hapa lazima ume na GPA kuanzia 4.8 mpaka 5.0 na matokeo ya kidato cha nne yawe mazuri kupata nafasi.

Vyuo vya private na ada zake kwenye mabano 1.Sfuchas ifakara (4.5 million) 2.St joseph boko (6.1 million) 3. Mwanza university (6.7 million) 4.Bugando (5.4 million) 5. Kcmuco (5.4 million) 6.kampala (6.7 million) 7.habert kairuki(6.7 million) . Huku kwa ujumla nafasi hufika mpka 200 kutegemeana na mwaka (TCU guide book number of sits) kwaio kwa upande wa private jua unagombania nafasi 200 au pungufu na clinical officer wenzio kupata nafac ya kusoma udaktari lkn Ada huku ndo kikwazo kingine kwa watoto wa maskini. KWA UJUMLA KWA SASA NAFASI ZA CLINICAL OFFICER KUSOMA MD HAPA NCHINI HAZIFIKI 300.

Habar njema ni kua kuna kozi zingine kama 15 hutegemeana na guidebook ya mwaka husika 1. Clinical nutrition Udom 2. Health information sciences Udom 3. Bsc general nutrition open university 4. Bsc human nutrition SUA 5. Law moshi ushirika 6. Microbiology udsm 7. Biotechnology udsm 8.sociology 9.health management systems mzumbe 10. Family and consumer science SUA 11.physiotherapy 12.public health Zanzibar 13. Counseling and psychology 14. Dental surgery suza na n.k

Swala la kujiajiri .. cheti cha clinical officer hakiwezi kutumika kufungua chochote iwe zahanati, duka la dawa au maabara. Zahanati ni kuanzia ngazi ya AMO ndio unaweza fungua.

Fursa nyingine iliopo ni kuajiriwa private ambapo kwa sasa wamekua wanalipa watakavyo unakata CO analipwa 150k au 200k kama anafanya kazi za ndani. Inaudhi sana.

Sku hzi kwenye kila watu 100 hukosi clinical officer mmoja wamekua wengi sana. Wengine wamekua madaktari TIKTOK sasa ni mwendo wa live tu

TAFAKARI CHUKUA HATUA
Toa maoni yako kuhusiana na hio document
 
Attachments

Toa maoni yako kuhusiana na hio document
Ukiisoma hyo document kwenye kipengele cha addo dispenser wameandika

(The potential ADDO dispenser will have to attend and successfully complete special training to dispense in an ADDO)

Kwa bahati mbaya hii Addo training imefungwa na haitolewi tena kwaio wale ambao walisoma addo huko nyuma wao wanaruhusiwa kudispense dawa ila ambae hana addo hawez tena kuuza dawa labda afanye kimagendo.
 
Tatizo ni kwamba fedha anazolipwa MD unaajilri CO wa 2.

Kingine ma MD hawakai vituoni hasa waliopangiwa hospitali na vituo vya vijijini yaani MD mpaka atokee kittuoni ujue kuna case ngumu utakuta CO na Nurse ndo wanaangaika . MD wanakaa kazini pale tu anapopangiwa kituo cha kazi cha mjini ila kijijini huwezi kumuona hata siku moja.

Kingine MD japo kuwa kiwango chake cha elemu ni kikubwa degree huwa hawa handle vizuri wagonjwa when comes to patient care. Utawakuta wanaandika tu kwenye karatas nurse atashughulikia ila kusema akae vzuri na mgonjwa waongee proper history kinacho msibu Hio haipo. Ni Dx na treatment kwaheri. Ila kwa upande wa CO kidogo kwenye ku handle wagonjwa na patient care wapo vizuri compared to MD maana mitihani ya huwa inahusu sana patient care and handling patient ndo maan mitiihani yao ya kila End of semester wasimamiz kutoka baraza husika la afya (madaktari) hutoka wizarani kuja kusimamia mitihani ya CO ili wajilidhishe kabsa muhusika CO kafuzu taaluma yake

MD wao mitihani yao husimamiwa na wakufunzi wao hua hamna msimamizi anaetoka wizarani. mtihani wao wa interniship ndo hua unathibitisha kuwa kafuzu. Ila kusema kuna mtu alietoka wizarani kwenye baraza husika kuthibitisha MD ana uwwezo na kufuzu hapo sifahamu

Kwa upande wa MD wao u base sana na theory miaka 3 ya mwanzo ya kozi yao. mpka mwaka wa 3 wa masomo ndo huingia wodini na kianza practical. Na baada ya miaka 5 hufanya interniship ili kupata leseni ya kuweza kutibu. Kwa upande wa CO miaka yote mi 3 ya masomo hujumuisha theory na practical ambapo miaka hiyo 3 ikiisha huwa na uwezo wa kutibu kinacho fuata hua ni kuaaply leseni na kuanza kazi. interniship haipo kwa upande wao.

iKUMBUKWE. Lengo la kozi ya cClinical medicine kuanzisha africa na nchini ni ilikuwa ni kwenda kutoa huduma za kiafya sehemu za vijijini ambapp watu walikuwa hawwawezi kupata hudum za kiafya kutokana na umbali na sababu za kijografia ya eneo. Ila kwa sasa hivi angalau vijiji vongi vimeendelea vina barabara na mawasiliano yapo.
Sina maoni juu MDs.
 
Back
Top Bottom