Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

Kwanini unasoma?

Kwanini unachagua kwenda degree sio diploma au certificate?
 
Mtu anaona kuliko mwaka kuisha bila ya kuwa na progress yeyote anaona Bora asome.
 
Degree ni another level of education so inategemea na mtu anahitaji nn
Ni kweli boss, ila inaonekana wengi hawajui wanahitaji nini ndo maana nikauliza hayo maswali mtu ajiulize. Isije kua unatumia nguvu kubwa kutafuta elimu ya darasani kwa ajili ya jambo ambalo inahitaji zaidi elimu jamii.

Mfano, unasoma sales degree ili ukaajiriwe kuuza duka la kariakoo kwanini? Elimu ya form six/Four ilitosha kuanza hiyo kazi mapema, by the time wenzako wanamaliza chuo wewe umeshafanya mengi mno pengine hata kuwa na duka lako.
 
The issue is, Kwa Nini masters kwa sasa wakati ajira nyingi are fit for degree? Ni ujinga na ulimbukeni
Kabisa chief . Mti anaenda kusoma masters wakati hata kazi hajawahi fanyia hio degree aliyonayo ndo hawa wanalalamika nina masters sina kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…