Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Nina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea😆
 
Aisee kweli mambo mengi yananipita..
Kumbe Palestina ni uchagani?
 
Tunawezana wenyewe kwa wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…