Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.

NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki.

**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana antenna adimu Sana huko.
Kimenuka
 
Huyu jamaa ni mimi kabisa staki mazoea na familia yangu
Ukute ni wewe maana naye yuko humu I guess 80%
Basi anasema yeye kaoa mke tu hajaoa familia. Mke kwake sio ndugu ni life partner muda wowote anaweza kumuacha akaolewa kwingine ila ndugu zake atabaki nao. So anaishi na mkeww kama kutake risk.

Anakuambia kama ndugu wa mke walikua wanaishi vizuri kabla ya kumuoa mwanao basi hata alivyomuoa wanaweza kuishi vizuri. Hivyo wasitegemee msaada wowote toka kwake...kao mke tu sio ndugu au wakwe.

Jamaa anapoint ila kuzishika hizo sheria binafsi Yahitaji uwe unaujasiri wa kimasai kama alivyo masai.

Nikikumbuka module ya Respect Value kwenye Life skills basi naona yupo sahihi..maana kila mtu na Value zake
 
Mi naziona hizi Dalili..za kwani Kaka yako akiumwa umeumwa Wewe?..

Doooh how can you love me and not love those I love...SIELEWI
 
Kaka yangu kaoa Mrombo..... ana roho mbaya huyo.... hataki ndugu hata iweje.. wa kwao wote kawaimarisha...lindugu letu lina baki kusema linachukiwa na ndugu zake cse kwake haoni ndugu. Kumbe mkewe ndo hataki hata salamu......na hivi wana mafanikio kidogo....sijui watamuacha au
Ila nasikia wachaga wa Rombo sio Palestinian! Sijui ni kweli hili! Wao wana roho nzuri,sio mbaya sana
 
Back
Top Bottom