Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Machame, Kikuyu, Meru ni asili Moja...kaa kitaalamuWanawake wa kichaga na jirani zao wakikuyu kutokea kinya Ni mbegu ya ovyo kuwahi kutokea duniani, wauaji na matapeli mno,,
wanaume kuweni chonjo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machame, Kikuyu, Meru ni asili Moja...kaa kitaalamuWanawake wa kichaga na jirani zao wakikuyu kutokea kinya Ni mbegu ya ovyo kuwahi kutokea duniani, wauaji na matapeli mno,,
wanaume kuweni chonjo
Waarusha kiboko...wakigeukaga ni watu hatari hasa kuchinja chinja na panga.Nina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea[emoji38]
Safi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chukua UBER nitalipa ukifika nyumbani!
😂😂😂😂 Hata kutag hujui,, hahahahahaha yani hahahahaha,, unahisi naogopa ban? Ya jf? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂@invisible
@mtana upite unaetaka kuolewa na mromboYes rombo wako vizuri , very hard working wanawake , wanaume wanapenda sana watoto kuliko mke
Machame, kikuyu,meru ni asili Moja...kaa kitaalamu
Niliwahi kumsitiri Shemej yangu na watoto watatu (3) kipindi ana matatizo kwenye ndoa Yake (makazi, chakula na pocket money) miezi 6 nilichoambulia kutoka kwa Mama mkwe siri yangu.
Kwakweli hizo Siri ndo tunazitaka sisi tuliooa pande hizoSasa mkuu blessings, hiyo siri usipoitoa hapa JF ambapo wala hakuna mtu anaekufahamu, we unadhani utaitolea wapi? Mwaga siri hizo ili iwe fundisho kwetu na kwa wengine..!
Wapalestina ni wachaga wa Machame, sijui kwanini wanaitwa hivyoSijawai jua..uhusiano wa wapelstina na Wachaga....nimesikia tangu mdogo..lakini sijui maanayake
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni
Kuna siku nilimkuta mamamkwe bafuni anaoga kwa bahati mbaya, daaa asee vagi lililotokea pale duuu sitosahau
Mkuu we ni katili sanaaBora Mcpilipili alijiolea Mhaya[emoji3][emoji3]
Akatoa na chozi akikumbuka pesa alizoliwa na Manka.
Sijawai jua..uhusiano wa wapelstina na Wachaga....nimesikia tangu mdogo..lakini sijui maanayake
Kweli, hasa toka pande tajwa. Kwao Ili uwe wa maana Ni uwe unamwaga mahela tuSina urafiki na mama mkwe maana namjua vizuri. Zaidi ya salamu na mambo mengine muhimu sina story nae kabisa. Watakuwa wameshanisema wee hadi sasa wamezoea I guess. Mazoeea sitaki kabisa
Kweli, hasa toka pande tajwa. Kwao Ili uwe wa maana Ni uwe unamwaga mahela tu