Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Nina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa Msukuma. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea[emoji38]
Huyu jamaa ni mimi kabisa staki mazoea na familia yangu
 
Back
Top Bottom