Sio uchagani, ni muarusha ila matata sana na ni mlokole. Nimeshamjulia hanisumbui. Napiga kimya kila kitu nimebakiza salamu na kupeana taarifa muhimu basi.Kweli, hasa toka pande tajwa. Kwao Ili uwe wa maana Ni uwe unamwaga mahela tu
Mume wake alifariki miaka mingi. Ni mama mtu mzima sana 70plus ila bado ana nguvu zake kiasi hajawa bibi sanaHa ha ha. Hapo utaishi kwa Amani. Huyo Mama yupo single mpaka leo?
Ndio mkuu [emoji23][emoji23][emoji23],huyu jamaa chai sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kisha azuke JF kuomba ushauri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]....Mwamba Ngoma....
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Tena michepuko ya kerege inatoa twins, acha nipate connection
Kuwa na adabu dogo.Nikijiweka kwa Mama Mkwe itakuaje? Tule wote uzee
Yaan azae mapacha amshinde mwenye mji? Anataka awe njia kuuBora uhonge mchepuko TU...Akuzalie mapacha
Sikuwah kuwaza kama .....Bora uhonge mchepuko TU...Akuzalie mapacha
Siyo Wapalestina lakini wanatambika sana.Ila nasikia wachaga wa Rombo sio Palestinian! Sijui ni kweli hili! Wao wana roho nzuri,sio mbaya sana
Rafiki yako ni fala-z tu na wala sio ishu ya kabila ... angeweza kupigwa na manzi yeyote.Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki.
**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
hahhahhahahhaahahaahah na mimi nimejiuliza kaanzaje kuoa nchini Palestine kumbe kaoa uchaganiWachaga ndio wanaitwa wapalestina..??
HahahaNina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea[emoji38]