Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

Sio uchagani, ni muarusha ila matata sana na ni mlokole. Nimeshamjulia hanisumbui. Napiga kimya kila kitu nimebakiza salamu na kupeana taarifa muhimu basi.
Ha ha ha. Hapo utaishi kwa Amani. Huyo Mama yupo single mpaka leo?
 
Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.

NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki.

**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.
Rafiki yako ni fala-z tu na wala sio ishu ya kabila ... angeweza kupigwa na manzi yeyote.

Ni mwanaume gani rijali anamkopesha mke wa mtu tena anayeitwa mama mkwe
 
Nina Cousin (bamdo) wangu hapa Muarusha kaoa kanda ya ziwa. Jamaa bandidu kweli sijui guts anazitoa wapi.
Hataki ndugu yoyote wa mke aje kwake na akija akalale gesti sio kwake.
Anakuambia imeandikwa
"mke na mume watawaacha baba na mama na kuishi wenyewe" sasa hapo ndio anapojitetea[emoji38]
Hahaha
 
Back
Top Bottom