Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapalestina ni wamachame. Wanawake wa kimachame to be specific. Kutokana na history yao.Sijawai jua..uhusiano wa wapelstina na Wachaga....nimesikia tangu mdogo..lakini sijui maanayake
Siyo Wapalestina lakini wanatambika sana.
Kwani kutambika kuna ubaya?Usinitishe mkuu![emoji87]
Kwani kutambika kuna ubaya?
Kerege wapi mkuu tujuzane machimboTena michepuko ya kerege inatoa twins, acha nipate connection
Sema ulienda kupiga chabo.Kuna siku nilimkuta mamamkwe bafuni anaoga kwa bahati mbaya, daaa asee vagi lililotokea pale duuu sitosahau
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hahahaaahahhahhahahhaahahaahah na mimi nimejiuliza kaanzaje kuoa nchini Palestine kumbe kaoa uchagani
Mkuu hujasoma Uzi uliopita wa mleta bandiko?Yaan azae mapacha amshinde mwenye mji? Anataka awe njia kuu
Uhayani ukitoboa kimaisha lazima uwahishwe kwa God mapemaUhayani nako Pana yake. Tena mazito pengine kushinda migombani
Wachaga ndio wanaitwa wapalestina..??
Wapare hawapo kwenye picha kabisaWapare hao
Ukweni sio nishaapa hakuna ndugu wa mke atakuja na shida mm nitoe pesa yangu mfukoni kumpa kuna shemeji yangu dada wa wife alinionba nimkopeshe laki 1 atanirudishia baada kama ya siku 3 mbele ebwanaaeee nkaingia kingi nkampa ndo mpaka leo mwaka wa pili huu tena kajikausha kama hakijatokea kitu nkasema anhaaaa ook kumbe hivyo tu jambo dogo sanaaa tangu siku hiyo ndugu zake wife wote atakaeomba msaada wa kipesa basi anaambulia ushauriUliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani.
NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata pensheni atamrudishia mpaka leo hamna kitu. Jamaa kwao Dodoma (Bahi) bado wazazi wake wanalala nyumba ya Tembe!
*Jamaa Ndoa imevunjika anadai Chake (Deni 7m) wamemtoa nduki.
**USISEME HUKUTAHADHARISHWA MAPEMA.
NOTE: Inasemekana ANTENNA adimu Sana huko.