Nimekuelewa vizuri sana, hasa nikikumbuka nafasi yako katika haya yote, pamoja na kwamba sioni kwenye maelezo Makamba alipom-'outshine' Samia!Wazungu wanasema ' never outshine your master'.
Kinachoonekana wazi katika andiko hili ni kwamba, pamoja na mambo mengine ambayo bado hatuyajui, Makamba kachomewa utambi na hawa walioona kazi yao imeingiliwa.