Nimekuelewa vizuri sana, hasa nikikumbuka nafasi yako katika haya yote, pamoja na kwamba sioni kwenye maelezo Makamba alipom-'outshine' Samia!Wazungu wanasema ' never outshine your master'.
Nadhani kuna viashiria pia vya msuguano kati ya makundi..., hasa hili la WaZanzibari kuwafunika waTanganyika, hasa katika wizara hiyo ya Mambo ya Nje...Maza uwezo wake ni mdogo.
..sasa atabadilisha wangapi kwasababu wamemfunika?
Maisha ya kisiasa yana kupanda na kushuka. Yanapokuwa juu kunakuwepo na sababu ya haki kabisa ya kuwa juu na yanapokuwa mabaya pia kuna sababu zake za msingi za mtu kupitia siku mbaya.Nimekuelewa vizuri sana, hasa nikikumbuka nafasi yako katika haya yote, pamoja na kwamba sioni kwenye maelezo Makamba alipom-'outshine' Samia!
Kinachoonekana wazi katika andiko hili ni kwamba, pamoja na mambo mengine ambayo bado hatuyajui, Makamba kachomewa utambi na hawa walioona kazi yao imeingiliwa.
Hiyo siyo siasa tu, ni hali ya maisha kwa ujumla wake. Maumbile ya binaadam wote.Maisha ya kisiasa yana kupanda na kushuka. Yanapokuwa juu kunakuwepo na sababu ya haki kabisa ya kuwa juu na yanapokuwa mabaya pia kuna sababu zake za msingi za mtu kupitia siku mbaya.
Makamba amekuwa na usumbufu wa chini kwa chini kabla hata Samia hajawa makamu ya Rais. Ni hulka yake ya kuwadharau wanaokuwa juu yake kimadaraka.Nadhani kuna viashiria pia vya msuguano kati ya makundi..., hasa hili la WaZanzibari kuwafunika waTanganyika, hasa katika wizara hiyo ya Mambo ya Nje.
Wizara hiyo haijapata utulivu wakati wote tokea 'Chura Kiziwi' ashike madaraka. Hata Stergomena hakuchukua dakika ndani ya wizara hiyo.
Kwa hawa, sina lolote la kutetea.Makamba amekuwa na usumbufu wa chini kwa chini kabla hata Samia hajawa makamu ya Rais. Ni hulka yake ya kuwadharau wanaokuwa juu yake kimadaraka.
Nape ndio mtoto kabisa kichwani.