Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
"Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mkono kwenye chup! ya mwanamke mwingine wakati unajua hiyo ni nguo ya ndani haitakiwi kushikwa hovyo unamaanisha nini?"
"Mbona video zingine unafanya vizuri tu kwa heshima na zinaenda kwanini hii? Hivi ninavyoongea Raya yuko nyumbani kwangu ameondoka kwa Barnaba, Barnaba video gani hii? Huna adabu unamchezea mtoto wangu"- Mama Kimbo, Mkwe wa Barnaba na Mwigizaji wa filamu Tanzania.
My take: Hawa ndio wamama wa kiswahili wanaoharibu nyumba za watoto zao, taasisi ya ndoa itaendelea kupigwa na Tsunami kama huyu ndio mzazi uliyetegemea amekulelea mke bora, hapo umekula hasara.