Usitegemee sana Lipa kwa Simu kwa Vodacom, Wakati wa Jioni! Utadhalilika

Usitegemee sana Lipa kwa Simu kwa Vodacom, Wakati wa Jioni! Utadhalilika

Voda Voda Voda!!

Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani?

Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa.

Kila ikifika saa Moja jioni.

Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa Namba ya Voda.

Nawahama!!!
Vodacom Tanzania
Hii nchi kila kitu ni shida bado tuna safari ndefu sana kwa ujinga ujinga mwingi unaoendelea
 
Yaan ni tabu tupu.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
IMG_20250314_203746~2.jpg
 
Back
Top Bottom