Usitegemee sana Lipa kwa Simu kwa Vodacom, Wakati wa Jioni! Utadhalilika

Usitegemee sana Lipa kwa Simu kwa Vodacom, Wakati wa Jioni! Utadhalilika

Dakika chace zilizopita nilitaka kununua kifurushi kwa mpesa kuna mtu nimpigie, nashangaa naambiwa huduma haipatikani. Nimejaribu mara 3 hola.
 
Voda Voda Voda!!

Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani?

Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa.

Kila ikifika saa Moja jioni.

Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa Namba ya Voda.

Nawahama!!!
Vodacom Tanzania
Ilinikuta Arusha hii,naenda Mbeya,PUMA.
Aisee mafuta ya 175,000/= ,nimelipa kwangu hela imetoka wakajaza mafuta😀😀😀😀
Wanangalia simu hawaoni pesa,napiga Voda naambiwa subiri ndani ya saa 72,
Uzuri nilikuwa na balance Bank ikabidi nitoe nilipe.
Then niongee na Manager wa pale,sema walikuwa Waungwana sana..issue ikawa hela kurudishwa kwangu😀😀😀
 
Pumbavu zao niliwaamini Sana ila nimekwama Sana jioni hii.Nilikuwa nawalipa watu wananilalamikia Sana hii kampuni imekuwa ya kichoko
 
Kabisa mwenyewe sina cash nimelipa 25 k in advance. Hapa nataka nikatafute cash
Tumedhurika wengi sio mchezo.
Anyway, jaribu hii, mimi imenisaidia.
Lipia Mpesa kwa lipa namba ya Tigo.
Kwangu imekubali at last.
 
Ilinikuta Arusha hii,naenda Mbeya,PUMA.
Aisee mafuta ya 175,000/= ,nimelipa kwangu hela imetoka wakajaza mafuta😀😀😀😀
Wanangalia simu hawaoni pesa,napiga Voda naambiwa subiri ndani ya saa 72,
Uzuri nilikuwa na balance Bank ikabidi nitoe nilipe.
Then niongee na Manager wa pale,sema walikuwa Waungwana sana..issue ikawa hela kurudishwa kwangu😀😀😀
Balaa
 
Voda Voda Voda!!

Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani?

Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa.

Kila ikifika saa Moja jioni.

Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa Namba ya Voda.

Nawahama!!!
Vodacom Tanzania
Hili suala pia lipo kwenye CRDB simbanking.
 
Voda Voda Voda!!

Inakuwaje kila ikifika jioni huduma za Mpesa zenu hazipatikani?

Hili ni tatizo almost mwezi mzima sasa.

Kila ikifika saa Moja jioni.

Huwezi kufanya Malipo yoyote kwa Lipa Namba ya Voda.

Nawahama!!!
Vodacom Tanzania

Mbona kama mitandao mingine inahusika pia? Shida nini? Jua limeshuka na kukaribia minara ya mawasiliano inataka kuwaka moto?
Maana hili jua la mwaka huu kama linataka kumuunguza mpiga ramli usoni.
 
Back
Top Bottom