Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
1. Akikupigia simu pokea alafu subiri aanze kuongea yeye maana labda aliekupigia ni mumewe, kenge wewe
_
2. Msizoee kuingia guest moja kila mnapokutana maana watu watawachora na kutoa taarifa,
3. Mkiingia guest msiandikishe majina yenu halisia,
_
4. Ukimpigia simu akakata usipige tena labda yupo na mumewe,
5. Usipende kumtumia sms za kimapenzi kila mara
_
6. Mume wake hata akisafiri usiende nyumbani kwake
7. Mume wake hata akisafiri usimruhusu alale kwako mwambie akalale kwake
_
8. Kama ni jirani yako usimzoee sana watu watawastukia
9. Usipende kupiga nae picha na kupost mtandaooni
_
10. Mahusiano yako usimshirikishe shoga yake wala rafiki yako
11. Usitembee na mke wa mtu tafuta wa kwako,
Kwa ushauli Zaidi njoo in box ila uwe mwanamke.