Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...

Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]

Hahahahha wanawake wa mburahati hawa hahaha lazima ujute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Fanya uhusiano na mtu anayekupa mawazo ya kusonga mbele kiutafutaji; sio unatengeneza mahusiano na mtu muda wote ni kukupiga mizinga tu; mara hela ya kodi imeisha, mafuta ya gari, mtaji n.k . Siku utakaposhindwa kumuhudumia kwa hayo mahitaji yake, ndio utakuwa mwisho wako wa kuwa naye, kwa sababu amekufanya wewe kama kikoba kisichokuwa na marejesho.

Nilishajiwekea mipaka binafsi, kama mtu ninayetaka kuingia naye kwenye mahusiano anapenda sana kupiga mizinga; huwa nampiga chini mapema kabla hayajanifika shingoni. Kwa sababu anakuwa hana mawazo mbadala ya kukuwezesha wewe kusonga mbele, zaidi ya kukudidimiza.

Sasa ukimuuliza swali, zaidi ya tendo unafaida gani kwangu? Anaweza akashindwa kukujibu kwa kuliona swali kuwa gumu.

Ni wewe tu uchague; uendelee kupigwa mizinga mpaka uchanganyikiwe au ujihadhari mapema kabla ya kupauka kutokana na mizinga iliyokomaa na kuwa makombora.
Dame anayekupiga mizinga ni wa kutafuna futa mdomo kaa pembeni.

Hastaili kabisa kufanya naye maisha... simple
 
Kuna mdada nilimwaproach akanambia nimnunulie sumsung ya 600K kwanza baada ya hapo atanivulia pichu nikamwambia sawa kuna mdada mwingine nikamwaproach akakubali bila mashart nimekula mzigo karibu mwezi sijawahi sikia mizinga isipokuwa huwa nampa kiasi chochote na ananishukuru hata kuna siku nilimgonga nikampa buku bado alinishukuru basi majuzi kati nikamwita somewhere nikamnunulia simu ya 400k amenishukuru sana na muda si mrefu namtaftia friji maana yake lazima unapokula hela yangu ule kwa adabu siyo kibabe mara mashart pumbaaafu
 
Halafu wanaopiga mizinga, wengi wao huigiza kwenye mapenzi, kujiliza liza n.k
 
Kuna mdada nilimwaproach akanambia nimnunulie sumsung ya 600K kwanza baada ya hapo atanivulia pichu nikamwambia sawa kuna mdada mwingine nikamwaproach akakubali bila mashart nimekula mzigo karibu mwezi sijawahi sikia mizinga isipokuwa huwa nampa kiasi chochote na ananishukuru hata kuna siku nilimgonga nikampa buku bado alinishukuru basi majuzi kati nikamwita somewhere nikamnunulia simu ya 400k amenishukuru sana na muda si mrefu namtaftia friji maana yake lazima unapokula hela yangu ule kwa adabu siyo kibabe mara mashart pumbaaafu
Laki nne hapa kwetu mtaani unapata dada poa wenye papuchi tofauti tofauti 40. Kwa 10 k kila papuchi kwa hiyo unapiga kwa mwezi moja na siku 10 kila siku unabadili nyingine mpya na miguno mpya style mpya what a enjoyment!!!!, jifuzene ufusika wa economy
 
Back
Top Bottom