Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Nia yetu njema kwa akina dada inaharibiwa na mizinga isiyo na maana.
Kuhudumia ni wajibu wetu lakini kuna muda unaona kabisa kwa staili hii hatuwezi kuyafikia malengo.
 
Ni ya kwel unayoyasema lakin bado wanaume hatutakuelewa

Ajabu ni kuwa wapiga mizinga wengi ni watamu nako 6×6 wanamautundu mengi sana,huwez amini mimi na haya masikio yangu yalivyo machafu mtu anayanyonya mpaka ndani ya ngoma ya sikio.

Mimi ambacho huwa nafanya huwa naandika pesa anayoniomba mpiga vizinga,kila pesa naandika,nikiona imezidi laki 3 kwa mwezi ntavumilia kidogo afu namkimbia kama nipo.
Naona umekaa kitaalamu mzee
 
Ukiona mwanamke kila week ukijumlisha mizinga anayokupiga inafika laki moja huyo kaa naye mbali, mbaya zaidi ww ukikwama ukimuomba hela hakupi hata sent tano, utasikia hela sina nimetumia hiki na kile bas kaa naye mbali kabisa kabisa huyo
 
Kugundua tatizo mapema, inasaidia kujihami
 
Fanya uhusiano na mtu anayekupa mawazo ya kusonga mbele kiutafutaji; sio unatengeneza mahusiano na mtu muda wote ni kukupiga mizinga tu; mara hela ya kodi imeisha, mafuta ya gari, mtaji n.k . Siku utakaposhindwa kumuhudumia kwa hayo mahitaji yake, ndio utakuwa mwisho wako wa kuwa naye, kwa sababu amekufanya wewe kama kikoba kisichokuwa na marejesho.

Nilishajiwekea mipaka binafsi, kama mtu ninayetaka kuingia naye kwenye mahusiano anapenda sana kupiga mizinga; huwa nampiga chini mapema kabla hayajanifika shingoni. Kwa sababu anakuwa hana mawazo mbadala ya kukuwezesha wewe kusonga mbele, zaidi ya kukudidimiza.

Sasa ukimuuliza swali, zaidi ya tendo unafaida gani kwangu? Anaweza akashindwa kukujibu kwa kuliona swali kuwa gumu.

Ni wewe tu uchague; uendelee kupigwa mizinga mpaka uchanganyikiwe au ujihadhari mapema kabla ya kupauka kutokana na mizinga iliyokomaa na kuwa makombora.
Me pia wiki 2 tu nakua nimekujua ww ni mtu wa aina gn na ninakupiga chini fasta bila kufikiria mara 2..

Kuna dada mmoja nilimkaushiaga ghafla mpka akahisi nina majini maana alikua anauliza kwa watu ninaofahamiana kuhusu mimi nipoje.

Nilipogundua tu ndo tabia yake sikumwambia chochte nilimpotezea na baada ya mwezi alijiongeza tu kuwa nishampiga chini mana sim zake na sms zake nilikua nazipotezea tu
 
Fanya uhusiano na mtu anayekupa mawazo ya kusonga mbele kiutafutaji; sio unatengeneza mahusiano na mtu muda wote ni kukupiga mizinga tu; mara hela ya kodi imeisha, mafuta ya gari, mtaji n.k . Siku utakaposhindwa kumuhudumia kwa hayo mahitaji yake, ndio utakuwa mwisho wako wa kuwa naye, kwa sababu amekufanya wewe kama kikoba kisichokuwa na marejesho.

Nilishajiwekea mipaka binafsi, kama mtu ninayetaka kuingia naye kwenye mahusiano anapenda sana kupiga mizinga; huwa nampiga chini mapema kabla hayajanifika shingoni. Kwa sababu anakuwa hana mawazo mbadala ya kukuwezesha wewe kusonga mbele, zaidi ya kukudidimiza.

Sasa ukimuuliza swali, zaidi ya tendo unafaida gani kwangu? Anaweza akashindwa kukujibu kwa kuliona swali kuwa gumu.

Ni wewe tu uchague; uendelee kupigwa mizinga mpaka uchanganyikiwe au ujihadhari mapema kabla ya kupauka kutokana na mizinga iliyokomaa na kuwa makombora.
Pale mtoa ushauri anaposhindwa kuzingatia ushauri wake na kupigwa na kitu kizito
 
Back
Top Bottom