Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Hata ninyi mnapokuwa na michepuko si mnakuwa mnajua kuwa hamtaioa? Sasa kwanini msikubali tu kwamba hayo mahusiano lazima yawe win win situation?

Kumbuka mnaolalamika ni ninyi kwamba wanawake wanawapotezea pesa zenu! Ndiyo maana tunasema kama mnaona michepuko ni gharama tulieni na wake zenu!

Wakilalamika wanawake napo tutawaambia kama wanaona hawawezi basi waachane na waume za watu! Watulie maana hawajalazimishwa kutembea nao na kuwa michepuko!

Na kiukweli siku hizi niseme wanawake wengi wamepunguza kama siyo kuacha kabisa kulalamika kuhusiana na hayo masuala! Sababu wengi wameshaget over the reality!

Siku hizi wanaume ndiyo mnaongoza kwa kulalamika kwahiyo it's up to you walalamikaji kuchukua hatua women care less these days! Either unahudumia mchepuko au baki na mkeo!

Hayo mambo ya kusema eti mwanaume hana hasara mwisho wa siku atakayeumia ni mwanamke ilikuwa zamani! Mlipozoea kuwadanganya bibi zetu sababu hawakuwa na elimu!

Siku hizi hakuna mapenzi! Wanawake hata wakijicommit kwenu bila kuomba pesa hakuna faida watakayopata ukweli utabaki pale pale kuwa hamtawaoa na mwisho mtawaacha tu!
Mnara wako uwekwe wapi? Very simple n clear. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Fanya uhusiano na mtu anayekupa mawazo ya kusonga mbele kiutafutaji; sio unatengeneza mahusiano na mtu muda wote ni kukupiga mizinga tu; mara hela ya kodi imeisha, mafuta ya gari, mtaji n.k . Siku utakaposhindwa kumuhudumia kwa hayo mahitaji yake, ndio utakuwa mwisho wako wa kuwa naye, kwa sababu amekufanya wewe kama kikoba kisichokuwa na marejesho.

Nilishajiwekea mipaka binafsi, kama mtu ninayetaka kuingia naye kwenye mahusiano anapenda sana kupiga mizinga; huwa nampiga chini mapema kabla hayajanifika shingoni. Kwa sababu anakuwa hana mawazo mbadala ya kukuwezesha wewe kusonga mbele, zaidi ya kukudidimiza.

Sasa ukimuuliza swali, zaidi ya tendo unafaida gani kwangu? Anaweza akashindwa kukujibu kwa kuliona swali kuwa gumu.

Ni wewe tu uchague; uendelee kupigwa mizinga mpaka uchanganyikiwe au ujihadhari mapema kabla ya kupauka kutokana na mizinga iliyokomaa na kuwa makombora.
Huwa najiukiza swali km hilo ulilojiuliza ukiondoa sex kama hakuna faida ninayopata kwa huyo mwanamke anaetaka kunichuna huwa nasitisha mahusiano
 
Mkuu acha uoga wa maisha kata pochi hilo au ulitaka amuombe nani km sio wew dear wake?
Huko alikozalishwa ni nini kilimfanya atemwe? Kuku asiyefugika huyo, nilishawahi kutwa na mizinga ya namna hiyo akapendeza akapata Bwana mm nikaitelekeza familia Leo anaomba turudiane nimemkubalia kaanza mizinga tena NAFIKIRIA
 
Piga kelele kwa shem wake, weuweeeeeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weueweeeee!!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38]wanawake wengi tuna kaubinafsi@Mzigua come my mkwe wangu hakuna kitu wanaume wanapenda kama kupewa na wao japo vitu vidogo vidogo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Daah umenikumbusha latifa.
Yeye kila siku vizinga vya 3,000.
Shughuli haziishi michango ni mzaramo.
Ila Yuko vizuri mtoto wa kibantu aswaa
 
Weueweeeee!!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji38]wanawake wengi tuna kaubinafsi@Mzigua come my mkwe wangu hakuna kitu wanaume wanapenda kama kupewa na wao japo vitu vidogo vidogo

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee
 
Back
Top Bottom