Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Kumhudumia mwanamke kwenye huduma za msingi ni jukumu la mwanaume.

Sina shida na kutoa huduma kwa Mwanamke ikiwa kweli mimi haswa ndie ninaepaswa kufanya hivyo.

Changamoto ni unakuta mimi najikunja kuhudumia majukumu yake lakini nyuma yake tupo wanaume kibao na wote wanamhudumia kwa ukamilifu.

Hivi ndio imepalekea kuitwa wadangaji na kuwapelekea kwenye umaskini na ufukara wa hali ya juu sana.
 
inshort wanawake shida zetu tupambane nazo
Kweli shida zenu mpambane nazo wenyewe, penye uwezekano tutawasaidia pasi na nyinyi kutuomba.
Binafsi hua nnapenda kujiongeza mwenyewe hua sisubiri mpaka mwanamke aanze kunieleza matatizo yake.

Ila nilibahatikaga kupata kapiga mzinga kamoja ni hatari, ila nashukuru nilivyoanzaga tu mahusiano nae na mimi mambo yangu yalikua yanafunguka kwelikweli, mitenda nilikua nnapata kama yote kwa hio nilikua sina stress sana na mizinga yake ingawa kenyewe kalikua kanaona kama vile kananikomoa.

Kalikua kazuri halafu kanajituma kwelikweli kitandani, zaidi kalikua kanajua kulalamika wakati wa tendo, mashine ikikoloea kanatukana kuanzia baba, mama, babu mpaka marehemu bibi yake, kanamdomo mchafu halafu hakana aibu hata kidogo.
 
Kalikua kazuri halafu kanajituma kwelikweli kitandani, zaidi kalikua kalikua kanajua kulalamika wakati wa tendo, mashine ikikoloea kanatukana kuanzia baba, mama, babu mpaka marehemu bibi yake, kanamdomo mchafu halafu hakaoni aibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli shida zenu mpambane nazo wenyewe, penye uwezekano tutawasaidia pasi na nyinyi kutuomba.
Binafsi hua nnapenda kujiongeza mwenyewe hua sisubiri mpaka mwanamke aanze kunieleza matatizo yake.
Ila nilibahatikaga kupata kapiga mzinga kamoja ni hatari, ila nashukuru nilivyoanzaga tu mahusiano nae na mimi mambo yangu yalikua yanafunguka kwelikweli, mitenda nilikua nnapata kama yote kwa hio nilikua sina stress sana na mizinga yake ingawa kenyewe kalikua kanaona kama vile kananikomoa.
Kalikua kazuri halafu kanajituma kwelikweli kitandani, zaidi kalikua kanajua kulalamika wakati wa tendo, mashine ikikoloea kanatukana kuanzia baba, mama, babu mpaka marehemu bibi yake, kanamdomo mchafu halafu hakana aibu hata kidogo.
[emoji23][emoji23] wanazengo noma sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu khaaaah
 
Mkuu wala siyo kwamba wanawake wana akili za kipumbavu au utoto bali wanafanya hivyo makusudi kabisa! Wewe unadate na mwanamke huna malengo naye huna mpango wa kumuoa unategemea ajicommit kwako wakati mwisho wa siku utamuacha na mkiachana jamii itamtukana yeye kuwa ni malaya huku wewe ukisifiwa kuwa ni kidume kwa kutembea na wanawake wengi!
Mwanaume unaweza ukawa na malengo nae tatizo linakuja kwa mwanamke nayeye anakuwa ana kupima kama utaweza kumuhudumia kwa kukupa mitiani kama kukuomba hela ya Kodi , umeme, mzaz wake anaumwa ilikukupima kama ukimuoa je utaweza kumuhudumia hapo ndo wanapo tumika na kukimbiwa
 
Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...

Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]
Bado mnaoa single mother tu.[emoji1][emoji1][emoji38][emoji38]
 
Muwe mnawasaidia muda mwingine hao watoto wa watu. Mwanamke haachwi Kwasababu isipokuwa kwa usaliti na ushirikina/uchawi wa tabia.

Hawa mabinti tunawaonea bure muda mwingine. Majority hawajawa institutionalized enough kuwa Wife kwa wanaume.

Hebu nambie wanapata wapi trainings za kuandaliwa kuwa wake za watu?! Jamii imejiwekeza zaidi kuwapa watoto wa kike elimu ya corporate na kuwaanda watoto wa kike kuwa watendaji wa serikali na mamlaka zake na taasisi za kibiashara ila wamesahau kabisa kuwajenga na kuwafunza skills za kuwa wake za watu na mama wa familia bora.

Ukitazama juu juu unaweza hisi wanafanya kusudi ila ukitazama kwa kina utagundua kuwa hii kitu inakwenda deep kwenye malezi.

Mimi nikikaa na mabinti hawa especially umri wa kuanzia 25 kushuka huwa najitahidi sana kuwapa elimu ingawa najua haitoshi lakini at least nawapa mwangaza wa maisha kwa perspective inayotakikana.

Muwe mnawaelekeza kama haelekei achana nae kama anaelewa basi nenda nae. Akiomba pesa kwa mahitaji ya msingi na akionesha kweli amekwama usisite kumpatia. Ila kama unampenda na unaplan kufanya nae maisha then muelekeze namna ya kushiriki kutafuta. Ajue uchungu wa inavyotafutwa ili akikuomba akuombe kwa akili na asiombe pesa kiboya.

Matatizo yote yana sababishwa na wazaz au walez Kukimbia majukumu Yao kwa watoto wao kuwa tegemea watoto badala ya mtoto kumtegemea mzazi mtoto wakike hana kaz una mruhusu kwenda kujitegemea mbali na nyumbani Mama zetu waliolewa na Baba zetu wakitokea nyumbani kwa wazaz wao na hawajai kuishi kinyumba wala kupanga Chumba ili kuanza maisha kwa mfumuo huo hawez kuwa ombaomba na akionekana na kitu kipya ataulizwa alipo kipata na hasipo toa jibu la kuelekwa anaambiwa akirudishe
 
Mwanaume unaweza ukawa na malengo nae tatizo linakuja kwa mwanamke nayeye anakuwa ana kupima kama utaweza kumuhudumia kwa kukupa mitiani kama kukuomba hela ya Kodi , umeme, mzaz wake anaumwa ilikukupima kama ukimuoa je utaweza kumuhudumia hapo ndo wanapo tumika na kukimbiwa
Mbona hata ninyi huwa mnawapima wanawake kabla hamjawaoa mkuu? Siyo ninyi mnaotakaga wanawake wakija kwenye mageto yenu wawapikie, wawafulie, wawaoshee vyombo na wawafanyie usafi ili kujua kama wanafaa kuwa wake?
 
Matatizo yote yana sababishwa na wazaz au walez Kukimbia majukumu Yao kwa watoto wao kuwa tegemea watoto badala ya mtoto kumtegemea mzazi mtoto wakike hana kaz una mruhusu kwenda kujitegemea mbali na nyumbani Mama zetu waliolewa na Baba zetu wakitokea nyumbani kwa wazaz wao na hawajai kuishi kinyumba wala kupanga Chumba ili kuanza maisha kwa mfumuo huo hawez kuwa ombaomba na akionekana na kitu kipya ataulizwa alipo kipata na hasipo toa jibu la kuelekwa anaambiwa akirudishe
Very true. Umeandika jambo la ukweli sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila we jamaa bhana yaani unavyolalamikaga utafikiri hujaoa! Kwani mmelazimishwa kuchepuka mkiona michepuko gharama si mtulie na wake zenu?

Na mimi nasema wanawake waendelee kukaza hivyo hivyo hakuna kulegeza kamba! Kwani na ninyi mkiacha hizo pesa zenu kuna nini kingine mnachowapa?

Msitegemee msaada wala mapenzi ya dhati kwa wanawake ambao hamna malengo nao wala hamuwezi kuwaoa hasa ninyi waume za watu! Tulieni na ndoa zenu!
Kwaiyo nikimfata mdada nina hela alafu mkuyenge hausimami atakubali mahusiano ...si umesema tofauti na hela hamna tunachotoa
 
Oohh sasa kama mnajua sex ni muhimu kwa wanawake kwanini huwa mnawatukana kuwa ni malaya? Kana kwamba ninyi ndiyo mnafaidi na wao wanalazimishwa tu?
 
Mbona hata ninyi huwa mnawapima wanawake kabla hamjawaoa mkuu? Siyo ninyi mnaotakaga wanawake wakija kwenye mageto yenu wawapikie, wawafulie, wawaoshee vyombo na wawafanyie usafi ili kujua kama wanafaa kuwa wake?
Sisi hatuwapimi kwa kuwaambia nifurie nguo kuosha vyombo Fanya usafi Sisi tunawapima kwa kuweka mambo hovyo ili wewe hujiongeze na ukija gheto husipo Fanya hatu laumu na sisi tukiwa tuna wapima tunaweza kukupa kila Huduma na tukakuacha tukaenda kuoa mwanamke wa lasaba mwenye malengo ya kiuchumi sasa wewe upo na mwanaume miaka 2 Una mawazo ya kiuchumi Zaid ya kuomba hela Tu tuna taka tusikia mwanamke anasema mpenz kuna biashara tukianzisha inalipa au kuna mashamba yanauzwa au Viwanja
 
Back
Top Bottom