Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

zamani mwanaume alikuwa akiwa na mchepuko ule mchepuko ulikuwa tulizo la moyo hasa, ila siku hizi mambo yamebadilika
mchepuko imekuwa kaa la moto,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] zama zimebadilika.
 
Kama ungekaa na huyu chuma ulete mwezi mzima, basi ungekuwa umetumia Mil 1,120000......, Smartphone laki 300000, matumizi yake na mtoto ni laki 300000, elfu 80000 ya nywele, hela ya kukombololea kabati Finca ni laki 200000, vocha tukadirie 60000, luku elfu 30000, mtoto anaumwa laki150000.…... Mkuu kimbiaaaa.
dah hiyo ni sawa na m-ukraine kufia vitani akipigania nchi yake, me siwezi
 
Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...

Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Huyo hajielewi ni zile type za buguruni + mwananyamala , kwanza unawezaje kuwa na mwanamke type hiyo !?
 
Dah!,
Mimi nilipata mfanyakazi ila kwa vizinga yaani unaweza sema hana kazi lol,

Eti ndani ya mwezi mmoja mwanamke anataka macho 3

Nikamwambia nimeghairi mahusiano na wewe,na sina sababu kwanini nimeghairi...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] oyaaaaa[emoji119]
 
Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...

Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]
Acha uoga umekimbia bahati🤪
 
A wise man once said

"Avoid broke women at any cost".

Hapa alimaanisha broke women upande wa mtazamo, mindset na sio broke upande wa kifedha

Ukiona una date na mwanamke ana mtazamo negative, hajali kuhusu future, hakupi mawazo ya kimaendeleo wala haongelei chochote kuhusu business au investment anachotaka yeye ni attention tu hapo mwanaume kimbia mbio ndefu kuliko hata Hussein Bolt.
Haijalishi huyo mwanamke ni mchepuko au mchumba, kama ni mke mvumilie kwa sababu ulimuoa kwa ujinga wako mwenyewe [emoji41]

Mwanamke kua mchepuko hai guarantee awe na akili za kitoto au kipumbavu pumbavu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Ila jf [emoji119]
 
Tatizo wote wana hisia
Sasa kama wote wana hisia mbona mwisho wa siku wanawake ndiyo hutukanwa na kudhalilishwa kuwa wao ni malaya huku wanaume wakisifiwa? Mtu ambaye mwisho wa siku anajua atakuja kunyooshewa vidole na kuitwa malaya unategemea ajicommit?
 
A wise man once said

"Avoid broke women at any cost".

Hapa alimaanisha broke women upande wa mtazamo, mindset na sio broke upande wa kifedha

Ukiona una date na mwanamke ana mtazamo negative, hajali kuhusu future, hakupi mawazo ya kimaendeleo wala haongelei chochote kuhusu business au investment anachotaka yeye ni attention tu hapo mwanaume kimbia mbio ndefu kuliko hata Hussein Bolt.
Haijalishi huyo mwanamke ni mchepuko au mchumba, kama ni mke mvumilie kwa sababu ulimuoa kwa ujinga wako mwenyewe [emoji41]

Mwanamke kua mchepuko hai guarantee awe na akili za kitoto au kipumbavu pumbavu.
Mkuu wala siyo kwamba wanawake wana akili za kipumbavu au utoto bali wanafanya hivyo makusudi kabisa! Wewe unadate na mwanamke huna malengo naye huna mpango wa kumuoa unategemea ajicommit kwako wakati mwisho wa siku utamuacha na mkiachana jamii itamtukana yeye kuwa ni malaya huku wewe ukisifiwa kuwa ni kidume kwa kutembea na wanawake wengi!
 
Sasa kama wote wana hisia mbona mwisho wa siku wanawake ndiyo hutukanwa na kudhalilishwa kuwa wao ni malaya huku wanaume wakisifiwa? Mtu ambaye mwisho wa siku anajua atakuja kunyooshewa vidole na kuitwa malaya unategemea ajicommit?
Moyo ukipenda, hayo mengine yanakuwa hayana nafasi
 
Hakuna cha moyo kupenda mzee ninyi wanaume ndiyo mmepelekea leo hii wanawake wamekuwa hawana huruma wala mapenzi na ninyi sababu hata ninyi hamna huruma wala mapenzi nao! Ninyi mngekuwa na huo moyo wa kupenda msingekuwa mnatukana wanawake kila kukicha kwamba wao ni malaya kisa tu mmemaliza haja zenu kwao mkawabwaga!
 
Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...

Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]
HAYA MAMBO KUMBE YANATUKUTA WANAUME WENGI, HALAFU WANAWAKE WANAKUA KAMA WAMEFUNDISHANA.
MIMI NILIINGIA KWENYE MAHUSIANO YANI NDANI YA WIKI MOJA TU HIVYO HIVYO BINTI ANATAKA NIMNUNULIE SIMU YA SMARTPHONE TENA ANANITAJIA BRAND MBILI TU AIDHA IPHONE AU SAMSUNG AU KAMA SIO HIVYO NIMPE 450,000/= ANUNUE MWENYEWE. HAPO BADO PESA ZA KUOSHA NYWELE MARA KUSUKA DAAAHH!!! IMEBIDI NIKIMBIE MAPEMAAA WALA SINA SHIDA NAE TENA.
 
Back
Top Bottom