Usitengeneze mahusiano na mtu anayekupiga mizinga muda wote

Ni ya kwel unayoyasema lakin bado wanaume hatutakuelewa

Ajabu ni kuwa wapiga mizinga wengi ni watamu nako 6×6 wanamautundu mengi sana,huwez amini mimi na haya masikio yangu yalivyo machafu mtu anayanyonya mpaka ndani ya ngoma ya sikio.

Mimi ambacho huwa nafanya huwa naandika pesa anayoniomba mpiga vizinga,kila pesa naandika,nikiona imezidi laki 3 kwa mwezi ntavumilia kidogo afu namkimbia kama nipo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!
 
Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...

Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawa too much
 
Huyu hakukupenda, angekupenda angekua na huruma na aibu japo kidogo,pole sana ndio ukubwa[emoji3]
 
Kama ungekaa na huyu chuma ulete mwezi mzima, basi ungekuwa umetumia Mil 1,120000......, Smartphone laki 300000, matumizi yake na mtoto ni laki 300000, elfu 80000 ya nywele, hela ya kukombololea kabati Finca ni laki 200000, vocha tukadirie 60000, luku elfu 30000, mtoto anaumwa laki150000.…... Mkuu kimbiaaaa.
Ndiyo maana tukisha mzalisha mwanamke kama huyu lazima tumtelekezee yeye na mtoto ili aisome namba
 
Dah!,
Mimi nilipata mfanyakazi ila kwa vizinga yaani unaweza sema hana kazi lol,

Eti ndani ya mwezi mmoja mwanamke anataka macho 3

Nikamwambia nimeghairi mahusiano na wewe,na sina sababu kwanini nimeghairi...
 
Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...

Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha woga Mangi[emoji855][emoji855][emoji855]
 
Ww uliingiaje huko kwa single mama. Huyo naye alikukubalia maana Keshaona Mtelezo
 
Kama ungekaa na huyu chuma ulete mwezi mzima, basi ungekuwa umetumia Mil 1,120000......, Smartphone laki 300000, matumizi yake na mtoto ni laki 300000, elfu 80000 ya nywele, hela ya kukombololea kabati Finca ni laki 200000, vocha tukadirie 60000, luku elfu 30000, mtoto anaumwa laki150000.…... Mkuu kimbiaaaa.
Mzee baba sijataka hata kujiuliza mara mbili ni ndukiiiii... Cha kushangaza hachoki kunitafuta mda wote anapiga tu simu sipokei na text sijibu... Imeisha hiyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom