Nilimpata binti mmoja juzi kati. Tupo ktk mahusiano wiki ya kwanza tu anataka simu mpya smartphone (nilimkuta na kitochi), anataka ela ya huduma ya mwanae kila siku nimpe ten (Ni single mother ana katoto kana mwaka mmoja), nywele zake anataka akaoshe hua zinamuwasha sana na angependelea kila wiki niwe nampatia elfu 20 kwa ajili ya saluni, vocha juu yangu, nilichoka aliponiambia nimkopeshe laki mbili anataka akakomboe kabati lake la nguo lilichukuliwa na watu wa finca...
Mwenzenu ingawa nilikua na nia ya kumchumbia lkn nimekimbia nimeshindwa [emoji125][emoji125][emoji125]
Sent using
Jamii Forums mobile app