Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Hapa unataka kutoa conclusion kwa just only one sample space or only one event like a coin flip game umepata tail ukahitimisha kuwa coin ina tail pekee na sio head and tail.USIMSHIRIKISHE NDUGU KWENYE MAFANIKIO YAKO HATA SIKU MOJA. ACHA AJE AJIONEE MWENYEWE SIKU IKIFIKA.
Inabidi Kila mtu afanye ivyo kwa ndugu zake wote yaani watu wote duniani tuje kucheki average, median, range, mie Kuna ndugu yangu amenisaidia mtaji nikalipia fremu nilipomshirikisha wazo langu la kufungua biashara niliyo nayo.
Sasa hapa utasemaje kuhusu ndugu yangu,mie ndugu akanisomesha na mpaka kuniozesha mke wangu kwa gharama zake mwenyewe.
Labda na wengine walete shuhuda wa ndugu zao ili tufanye mathematics tutoe jibu Ila ubongo wako ama wangu unao flaws katika kufanya maamuzi na hitimisho. We need to measure what we're speaking and thinking.
Pia suala la mtu kuwa na tabia sio suala la ndugu ni suala la ubinadamu Kama mtu ni mwizi mbona mpaka anaibia mzazi wake ama mwanae, Kama mtu ni mzinzi anatembea mpaka na nduguze yaani Ile tabia yake ni kiu ama shetani lake huwa linamsukuma ajipatie kinywaji chake ili apumue, let say Kama mtu anabeti ama anakunywa mpaka anywe ili aridhike, Kama mtu anamsengenya mtu lazima afanye ivyo ili aridhike. Nishawahi kutana na binti mmoja akaniambia bila ya ku du na wanaume wawili per day hawezi lala